Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
"Hili tabasamu ni pale unapotambua umekuwa official mke and there is nothing he can do about it."
Apparently, huyu demu kweli wa uptown wala hakuwa na aibu wala kuficha macho wala kuwa shy...kanatabasamu tu whenever.. Wherever! Na kanaikazia macho ile halaiki confidently kabisa.
Mungu akasaidie ndo yake idumu.