Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle



Hii ya Kate na Meghan kuelewana inawezekana sana ukizingatia they have almost the same background.
Halafu Kate pamoja na majukumu ya U royal, amefanania na ma mkwe wake alivyokuwa.
She's a cool cat.
 
Most likely! Mama yake alivyokuwa mrembo na smart huyu anatia aibu. Katika wanawake wote wa Kiingereza amekosa kabisa mke hadi aende Marekani tena demu kamzidi umri? Huyu kweli ngada inamhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee analiwa mate kama mchumba tu hapo tusiseme ya sirini huenda anatatuliwa linda mubashara.
sasa unategemea mawaziri wengi wa England watapinga ushoga hadharani?
CC: Poise

Duuuuuuh,
Basi dunia yao ni ya kufikirika.
 
Hii ya Kate na Meghan kuelewana inawezekana sana ukizingatia they have almost the same background.
Halafu Kate pamoja na majukumu ya U royal, amefanania na ma mkwe wake alivyokuwa.
She's a cool cat.
Nalendwa na wewe ni chotara? Kama chotara naomba nitangaze nia kama jimbo halina muwakilishi....Natania mjomba(in Mrisho Mpoto voice)
 
Nimuonee wivu wa nini Mkuu; anaaibisha royal family tu huyo kwenda kuokota masanii ya kimarekani. Kweli nioneshe rafiki zako nami nitakuambia tabia yako.
Wewe dogo acha wivu wa kike
 
Uwii Witness jamani dada wa watu yasijemkuta yaliyomkuta Diana..

I couldn't wait kusikia reaction ya Queen kwa hili la kuingiza damu nyeusi kwao, lakini kaonekana ku support tena kwa kurusha dongo kwenye media?!
Hakuna lolote kibibi kile ni snitch ile mbaya.....Mimi naifuatilia ile familia utafikiri nalipwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi umeona speech aliyotoa kipindi Di kafa?..full kujiliza na masikitiko mengi but behind the scene hata maiti alikuwa amekataa isifatwe Paris na koo ya kifalme mpaka pale Charles alivyomvimbia!....ile speech yenyewe kuitoa ni baada ya kuambiwa na mkusanyiko uliokusanyika Buckingham palace nje kuwa watailipua hiyo kasri why Elizabeth yuko kimya!

Kabibi kanafiki sana kale ....mi nakwambia Meghan ajiandae na ile familia si mchezo!
 
Wadau Prince Harry kimsingi na kwa mazingira halisi yaliyopo hayupo kwenye urithi wa ufalme. He can do whatever he wishes
Pia analolifanya sio jipya bali limejirudia kwani baba yake mkubwa na Malkia Elizabeth naye alipenda kuoa mwanamke model wa kimarekani. Alipozuiliwa aligoma basi akaambiwa achague ufalme au mke yeye akichagua mwanamke hivyo akakosa urithi. Akiambulia kupewa fedha za kutosha na kuhamia marekani na mke wake.
Baba yake Malkia Elizabeth II ndiyo akapewa ufalme badala ya kaka yake mkubwa aliyeamua mke ni bora kuliko Ufalme!
Aidha muonekano wa Prince Harry sio ajabu kwani ndio muonekano halisi wa Wagiriki.
 
Haha...hiyo ndoa haitadumu....huyo mama aliishaachika marekani then hawa wasanii mambo mengi sana
 
Beatrice na Eugenia ni vimeo hataree....

Yaani kipindi kila Di kaolewa kwenye ufalme vimbele mbele alikuwa wifi Anna full kumnyanyasa mtoto wa watu akishirikiana na Queen, na Margreth!

Vibibi vimejizeekea hivyo, walioshika hatamu ni huyo Beatrice na Eugenia full kunyanyasa mawifi mle ndani, yule Cathy anaipata fresh, hawamsalimii, kumsema sema sasa, Dada watu anakosaje raha!

Atleast Meghan aingie mle ndani Catherine apate company
 


Whaaaat?!, alikataa maiti isifuatwe under royal protection?!, that wasn't nice jamani and the way Princess Di alivyokuwa People's Princess?

Kwa kweli hata Waingereza wenyewe walionekana kuboreka fulani na Queen wakati wa ule Msiba.
 


Mkuu Boniphace. I think Prince Harry is still in the line, but he gets bumped down the line everytime William akitotoa.
 
Whaaaat?!, alikataa maiti isifuatwe under royal protection?!, that wasn't nice jamani and the way Princess Di alivyokuwa People's Princess?

Kwa kweli hata Waingereza wenyewe walionekana kuboreka fulani na Queen wakati wa ule Msiba.
Yaaaas! Her Majesty aligoma kuwa Di asifatwe Paris coz at that time anajihusisha na Waarabu ( refer Dodi)

Duuh!...Charles akaona huu undezi sasa ! Watoto wataichukulia vipi hiyo image? Akamchana maza ake ndo ukaona vile kibibi full kuhandle msiba kinafiki nafiki!

To be candid Di was people 's heart but in Buckingham she was a threat, traitor! To make the situation worsening, full kufichua masiri ya kifalme kwa Fayed' s family, wakaona hili sasa balaa!
 
Sio hilo mi kilichonikosha zaid ni kwamba bibi harusi alishaolewa na kuachika. Mi hapoooo tuuu. Sijui atakua na watoto!!! Na Harry anahitaji strong woman Wa kuweza kumcontrol maaan ni mzeee Wa bata mnooo. Anaitendea haki 3Ws. War, wine and women, only strong and Mature woman can Handle him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…