Mwenzio hapo Camilla kala gambe kashiba!Camilla ana moyo sana lakini. Ndo kwanza yuko mstari wa mbele, mama mkwe wa Meghan! 🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ah wapstory za watoto wa kishua
Sanaaa! Yaan hana tofauti na mchawii!Yaani alibore sana kumuharibia mwenzake!
Kiveeepe!Tunamuua mwaka huu mwezi wa 9 tar 13
Haiwezekani, na hapo waingereza wanataka kumpa William ufalme ili wamruke kipenzi chake Charles... Hatokii ng'ooJamani hivi haiwezekani huyo Malikia Elizabeth kujiuzuru kupisha damu changa?
huamini... hawa wanaochangia ingia pm uombe japo ka dinner nao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ah wap
[emoji3] Ngoja tujaribu mkuu, nitaleta mrejesho[emoji29]huamini... hawa wanaochangia ingia pm uombe japo ka dinner nao...
uone nayokuambia
Mkuu unataka kuniambia mwarabu dodi katafutwa ili amuoe Di halafu nayy akakubali kujilipua?T
Diana hakumalizwa kwa sababu hiyo mkuu, di alijua siri nyingi za hii famili na alijiapiza kuzianika kwahiyo ilikumnyamazisha ilibidi itengenezwe skendo coz di alikuwa mtu wa watu sana, ndiyo akatafutwa huyo mwarabu.
kila la kheri anza na huyu witnessj[emoji3] Ngoja tujaribu mkuu, nitaleta mrejesho[emoji29]
Muoneee[emoji23] [emoji23] [emoji23]kila la kheri anza na huyu witnessj
[emoji16] Usimgemtaja sasa[emoji26]kila la kheri anza na huyu witnessj
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Muoneee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nisimulie pm basi wakishuaUlikuwa wapi Daby, yaani shughuli inaishia wewe ndo unatokea!
Kwakweli... Sio make-up mpaka unakuwa kama shangingi!Jamani ma bi harusi wa kibongo/kifrika ya kujifunza yapo
Simple dress and makeup....less is more
Dili lili chezwa na baba yake dodi mkuu, hilisakata linamambo mengi.Mkuu unataka kuniambia mwarabu dodi katafutwa ili amuoe Di halafu nayy akakubali kujilipua?
Kama ni ishu ya kujua siri nyingi mbona tuna Sarah Ferguson yule mtaliki wa Andrew, mbona katoka kwenye ufalme hakuuliwa?
Diana kauliwa kwa sababu ya kutaka kuolewa na mwarabu + alibeba ujauzito wa Dodi!
Isingekubalika kwa sababu William & Harry wangepata kaka au dada mwarabu, kitu ambacho hakiwezekani kwenye lile kasri!
Sawa mkuu..but je unajua kuwa mzee Fayed ana bifu kali na her majesty kabla hata mambo ya Dodi na Di?Dili lili chezwa na baba yake dodi mkuu, hilisakata linamambo mengi.
Haaahaaa...nilikuwa hata sijaanza hata la kwanza! But nilimuona maza angu analengwa na machozi kuuliza naambiwa Di kafa, hata sikuwa naelewa!
Sio sababu....wazungu wanafiki mnoo, inaezekana sisi walimwengu tunazugwa na Harry anapotezwa maboya, ili hata siku kapotezwa hakuna hata dalili ya ushahidi or hisia!
Wazungu nyokoo