Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mkuu mbona sasa we are sailing in the same boat?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sababu kubwa umeiona sasa ni huo uislam na uarabu na kitakachozaliwa

Pia nakubaliana na wewe Di alijua siri nyingi mnoo so ikawa threat kwao pia!

Walimdhalilisha na yy alitaka kuwadhalilisha!
 
Haaahaaa..safi sana, this year 2000 kaka angu alienda kwenye maduka yake hayo ya Harrods akaja na mipicha ya mle ndani !

Halooo duka linatoka pale posta mpya mpaka feri nilishangaa sana!
Chakula chao sasa. Nilikuwa ninaenda kununua sabuni ya kuogea basi mwaka mzima inakaa bafuni kama pambo.
 
Nalendwa watu huku umesikia wanakwambia anaweza kumalizwa hata be4 hajaconceive we unashangaa kubaguliwa!

Kiukweli Buckingham palace hatakiwi black trust me

Yaan Harry bangi zake aziangalie vizuri, sijui lkn!


Hahah!, wanasema aliacha bangi! 😀

Sema ndo hivyo hawa sio wa kuamini sana, lakini huu uchangamfu wa Harry na hivi alivyojichanganya na race nyingine Royal family wangeutumia ku bridge na watu wa kawaida.
They were so Isolated, mpaka alivyotokea Diana and then now, Harry.
Sasa wakimbagua mtoto wa Harry watachemka.
 
Nani kaacha bangi? Haaahaaa

Jamaa anakula bata mpaka kuku wanaona wivuu!

Kumleta Meghan mle ni kajilipua vilivyoo!
 
Mpaka kuku wanaona wivu! [emoji1] [emoji28]

Si kwa kujiachia huku aseh!
Inadaiwa wale waliokuwa wanamkimbiza Di na makamera wakati yuko na Dodi anatoka Ritz sio mapaparazi!

Na ile Mercedes Benz iliyowachukua was fake!

Eti?
 
Mkuu hapo kuna fumbo, mauaji yake tiyar yalishapangwa, sasa watamuondoa vipi? Na watawaambia nini waingereza? M15 walimtumia mwarabu ili kuishusha heshima ya Diana kwa waingereza.
 
Mkuu hapo kuna fumbo, mauaji yake tiyar Takisha pangwa sasa watamuondoa vipi? Na watawaambia nini waingereza? M15 walimtumia mwarabu ili kuishusha heshima ya Diana kwa waingereza.
Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!

Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty

Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
 
Inadaiwa wale waliokuwa wanamkimbiza Di na makamera wakati yuko na Dodi anatoka Ritz sio mapaparazi!

Na ile Mercedes Benz iliyowachukua was fake!

Eti?


Mwenzangu hii ya Fake Paparazzi hata nilisikia, yaani hawa wana mengi ya kujibu..
 
Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!

Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty

Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Mkuu Di mwenyewe alikua anajua yupo kwenye hatari!Miezi kumi kabla ya kifo chake Diana aliandika barua iliyosomeka: “Kipindi hiki cha maisha yangu ni cha hatari sana kwangu” na kudai Ufalme wa Uingereza unamwandalia kifo cha ajali ya gari. (Mirror la Uingereza Okt. 20, 2003).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…