witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mkuu mbona sasa we are sailing in the same boat?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fayed anasisitiza, Dodi na Diana wangeoana; na kwamba alikuwa mjamzito. Anasema waliuawa na vikosi vya usalama vya Uingereza kwa sababu familia ya Kifalme isingevumilia kumwona Diana kapakata kitoto Kiislamu!
Wanaomjua Diana wanajaribu kukanusha madai kuwa Diana alikuwa na mimba, na wakamhakikishia Lord Stevens kuwa mimba kwa Dodi ilikuwa ndoto. Unajua, ukoo wa Kifalme haukutaka aibu kama Diana angeongoka na kuwa Muislamu! Maana yake ni kwamba Mfalme wa baadaye wa Uingereza(Mtoto wa Diana) ambaye pia angekuwa Mkuu wa Kanisa la Uingereza, angepata baba wa kambo(Dodi) Mwarabu; na kwamba Mfalme wa Uingereza angekuwa na ndugu Mwarabu! Mkuu swala di ni pana sana kwa kifupi di ilikuwa lazima aondolewe kwa njia zozote ambazo hazitaacha alama. Kumbuka diana alikuwa anaita hii familia ni yakichawi.
Sababu kubwa umeiona sasa ni huo uislam na uarabu na kitakachozaliwa
Pia nakubaliana na wewe Di alijua siri nyingi mnoo so ikawa threat kwao pia!
Walimdhalilisha na yy alitaka kuwadhalilisha!