Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!
Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty
Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Maskini Di...an innocent lady that paid the ultimate price kisa ndoaaMkuu mbona sasa we are sailing in the same boat?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sababu kubwa umeiona sasa ni huo uislam na uarabu na kitakachozaliwa
Pia nakubaliana na wewe Di alijua siri nyingi mnoo so ikawa threat kwao pia!
Walimdhalilisha na yy alitaka kuwadhalilisha!
Ur right mkuu...na Di angezaa na Dodi ndo kabisa, ikabidi wamuwahi!Rumor nyingine, eti hawakumtaka Dodi cos that meant the future king (William) angekuwa na step father kutoka pande zile..
Halafu zile hazikuwa camera!
Mkuu Di mwenyewe alikua anajua yupo kwenye hatari!Miezi kumi kabla ya kifo chake Diana aliandika barua iliyosomeka: “Kipindi hiki cha maisha yangu ni cha hatari sana kwangu” na kudai Ufalme wa Uingereza unamwandalia kifo cha ajali ya gari. (Mirror la Uingereza Okt. 20, 2003).
We acha tu mkuu, bora wangekaacha at 19 na virgin yake akapata wa kumpenda akamwoa yote haya yasingemkuta!Maskini Di...an innocent lady that paid the ultimate price kisa ndoaa
Mkuu unamuongelea Diana yupi? She knew how to stand up for herself Charles mwenyewe alisurrenderAseh!, kwani wangem disown wangepungukiwa na nini?!
Halafu Diana alikuwa so innocent. Afadhali angekuwa machachari.
Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!
Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty
Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Princess Diana na Dodi Fayed walitumbukia rasmi katika mapenzi Jumanne ya Juni 3, 1997. Siku 38 baadaye, Ijumaa ya Julai 11, 1997, Princess Diana aliwasili kwenye nyumba ya shamba la Mzee Al Fayed yenye bustani kubwa eneo la San Tropez, kusini mwa Paris, Ufaransa, akiwa na watoto wake, William na Harry.Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!
Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty
Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Gauni ni la Givenchy
Fayed aliorganize wakutane Dodi na DianaPrincess Diana na Dodi Fayed walitumbukia rasmi katika mapenzi Jumanne ya Juni 3, 1997. Siku 38 baadaye, Ijumaa ya Julai 11, 1997, Princess Diana aliwasili kwenye nyumba ya shamba la Mzee Al Fayed yenye bustani kubwa eneo la San Tropez, kusini mwa Paris, Ufaransa, akiwa na watoto wake, William na Harry.
Wakati huo Dodi Fayed alikuwa chumbani kwake na mchumba wake, Kelly Fisher, mwanamitindo wa Mmarekani. Dodi hakuwakutanisha Kelly na Diana. Wakati Baadaye Diana akiwa katika boti, ndege binafsi ilitumwa kwa ajili ya Kelly. Diana na Kelly hawakujuana.
Kelly alikasirika sana alipogundua kuwa Dodi alimzubaisha ili apate nafasi ya kumtongoza Diana. Hatimaye Diana alirejea Uingereza na watoto wake. Ndipo siku 20 baadaye, Alhamisi ya Julai 31, Diana akarejea tena San Tropez, wakati huu akiwa bila watoto wake. Bado hakujua Dodi alikuwa na uhusiano na Kelly hadi aliposikia katika vyombo vya habari.
Siku hiyo, Julai 31, Kelly Fisher alikuwa Los Angeles, Marekani, akijiandaa kwa ajili ya harusi kati yake na Dodi Fayed iliyokuwa imepangwa kufanyika Jumamosi ya Agosti 9, 1997. Lakini siku mbili kabla ya hapo akavisikia vyombo vya habari duniani vikitangaza mapenzi kati ya Dodi na Diana. Huo ukawa mwisho wa Dodi na Kelly.
Jumba hilo la kifahari lilikuwa limefungwa vinasa sauti kufuatilia mazungumzo ya Diana. Kila alichozungumza Diana hakikuwa siri kwa wale waliomfuatilia.
Nikuulize kitu unajua ni nani alikuwa ametegesha hivyo vinasa sauti na camera?Princess Diana na Dodi Fayed walitumbukia rasmi katika mapenzi Jumanne ya Juni 3, 1997. Siku 38 baadaye, Ijumaa ya Julai 11, 1997, Princess Diana aliwasili kwenye nyumba ya shamba la Mzee Al Fayed yenye bustani kubwa eneo la San Tropez, kusini mwa Paris, Ufaransa, akiwa na watoto wake, William na Harry.
Wakati huo Dodi Fayed alikuwa chumbani kwake na mchumba wake, Kelly Fisher, mwanamitindo wa Mmarekani. Dodi hakuwakutanisha Kelly na Diana. Wakati Baadaye Diana akiwa katika boti, ndege binafsi ilitumwa kwa ajili ya Kelly. Diana na Kelly hawakujuana.
Kelly alikasirika sana alipogundua kuwa Dodi alimzubaisha ili apate nafasi ya kumtongoza Diana. Hatimaye Diana alirejea Uingereza na watoto wake. Ndipo siku 20 baadaye, Alhamisi ya Julai 31, Diana akarejea tena San Tropez, wakati huu akiwa bila watoto wake. Bado hakujua Dodi alikuwa na uhusiano na Kelly hadi aliposikia katika vyombo vya habari.
Siku hiyo, Julai 31, Kelly Fisher alikuwa Los Angeles, Marekani, akijiandaa kwa ajili ya harusi kati yake na Dodi Fayed iliyokuwa imepangwa kufanyika Jumamosi ya Agosti 9, 1997. Lakini siku mbili kabla ya hapo akavisikia vyombo vya habari duniani vikitangaza mapenzi kati ya Dodi na Diana. Huo ukawa mwisho wa Dodi na Kelly.
Jumba hilo la kifahari lilikuwa limefungwa vinasa sauti kufuatilia mazungumzo ya Diana. Kila alichozungumza Diana hakikuwa siri kwa wale waliomfuatilia.
Mkuu unamuongelea Diana yupi? She knew how to stand up for herself Charles mwenyewe alisurrender
Sadly Diana aliolewa kwenye ile family bila support. Kate ana support kubwa ya wazazi wakeKama ni kweli walikuwa behind her death..
Swali Fayed alifanya yote hayo kwa sababu gani?Fayed aliorganize wakutane Dodi na Diana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri ni kimavi watu hatujui tuu...huyo Meghan na vigimbi vyake unaambiwa mwanaume akionja pale anatangaza ndoa fasta halafu matajiri tupu!
Huyo mganga wake alimtoa Nyakanang'ung'u nahisi, si kwa mibahati hii
Fayed na Phillip wana issue zao za longSwali Fayed alifanya yote hayo kwa sababu gani?
Umenena mamito..na hii ilikuwa kwa maslahi yake!Fayed aliorganize wakutane Dodi na Diana
Kinara wa hii murder anajulikana!Kama ni kweli walikuwa behind her death..
Kweli...inasaidia sana!Sadly Diana aliolewa kwenye ile family bila support. Kate ana support kubwa ya wazazi wake