Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!

Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty

Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!

Rumor nyingine, eti hawakumtaka Dodi cos that meant the future king (William) angekuwa na step father kutoka pande zile..
 
Mkuu mbona sasa we are sailing in the same boat?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sababu kubwa umeiona sasa ni huo uislam na uarabu na kitakachozaliwa

Pia nakubaliana na wewe Di alijua siri nyingi mnoo so ikawa threat kwao pia!

Walimdhalilisha na yy alitaka kuwadhalilisha!
Maskini Di...an innocent lady that paid the ultimate price kisa ndoaa
 
Rumor nyingine, eti hawakumtaka Dodi cos that meant the future king (William) angekuwa na step father kutoka pande zile..
Ur right mkuu...na Di angezaa na Dodi ndo kabisa, ikabidi wamuwahi!

Ila Dodi hajipendi kifo kilikuwa nje nje! Sijui hakustuka! Coz watu walikuwa wanawambia yy na Di kwamba nyie mtauliwa na sababu ni hii na hii!

But sikio la kufaa!
 
Halafu zile hazikuwa camera!
Mkuu Di mwenyewe alikua anajua yupo kwenye hatari!Miezi kumi kabla ya kifo chake Diana aliandika barua iliyosomeka: “Kipindi hiki cha maisha yangu ni cha hatari sana kwangu” na kudai Ufalme wa Uingereza unamwandalia kifo cha ajali ya gari. (Mirror la Uingereza Okt. 20, 2003).

Aseh!, kwani wangem disown wangepungukiwa na nini?!
Halafu Diana alikuwa so innocent. Afadhali angekuwa machachari.
 
Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!

Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty

Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Mkuu kumtuma mwarabu hapo ndo nagoma!

Ile mipango ni Fayed kumkomesha Her Majesty

Na Di ni kuukomesha na kuudhalilisha ufalme!
Princess Diana na Dodi Fayed walitumbukia rasmi katika mapenzi Jumanne ya Juni 3, 1997. Siku 38 baadaye, Ijumaa ya Julai 11, 1997, Princess Diana aliwasili kwenye nyumba ya shamba la Mzee Al Fayed yenye bustani kubwa eneo la San Tropez, kusini mwa Paris, Ufaransa, akiwa na watoto wake, William na Harry.

Wakati huo Dodi Fayed alikuwa chumbani kwake na mchumba wake, Kelly Fisher, mwanamitindo wa Mmarekani. Dodi hakuwakutanisha Kelly na Diana. Wakati Baadaye Diana akiwa katika boti, ndege binafsi ilitumwa kwa ajili ya Kelly. Diana na Kelly hawakujuana.

Kelly alikasirika sana alipogundua kuwa Dodi alimzubaisha ili apate nafasi ya kumtongoza Diana. Hatimaye Diana alirejea Uingereza na watoto wake. Ndipo siku 20 baadaye, Alhamisi ya Julai 31, Diana akarejea tena San Tropez, wakati huu akiwa bila watoto wake. Bado hakujua Dodi alikuwa na uhusiano na Kelly hadi aliposikia katika vyombo vya habari.

Siku hiyo, Julai 31, Kelly Fisher alikuwa Los Angeles, Marekani, akijiandaa kwa ajili ya harusi kati yake na Dodi Fayed iliyokuwa imepangwa kufanyika Jumamosi ya Agosti 9, 1997. Lakini siku mbili kabla ya hapo akavisikia vyombo vya habari duniani vikitangaza mapenzi kati ya Dodi na Diana. Huo ukawa mwisho wa Dodi na Kelly.

Jumba hilo la kifahari lilikuwa limefungwa vinasa sauti kufuatilia mazungumzo ya Diana. Kila alichozungumza Diana hakikuwa siri kwa wale waliomfuatilia.
 
Fayed aliorganize wakutane Dodi na Diana
 
Nikuulize kitu unajua ni nani alikuwa ametegesha hivyo vinasa sauti na camera?
 
Back
Top Bottom