Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Wewe hujazivaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaaahahaa...anza kushinda "" CNN kabisa
Hahah!, kha Serena nae hakutaka hata kuzi refresh yeboyebo..[emoji1]Oprah kazidi kuwa mbibi hajapendeza hataa!
Serena Williams kapendeza ila yeboyebo zake zimeshaanza kufumuka!
Clooney katoka chicha na baby wake!
Idriss katoka bomba ila bidada kamuangusha na huo mgauni!
Beckham and his wife look mwaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh wazungu wana raha haya machombo ya kwaya na kusindikizia nyimbo kwetu hamna bali maspika makuubwa likishtuliwa ghafla moyo unaruka sarakasi za ajabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi hakuna mtu Wa Africa aliealikwa?Nimeshangaa kweli..huyu mzee hakosagi haya matukio au hajaalikwaa?
Si ex wa harry kavaa pia kitenge amaHahaha!, huyo alinipita Mzigua! [emoji28]
Nope ni ndugu yake mama Sabrina!Hivi huyu dada mwingereza pia?!
Serena kuvaa kafundishwa na hicho kiserengeti chake!Hahah!, kha Serena nae hakutaka hata kuzi refresh yeboyebo..[emoji1]
Beckhams, sana tu. They never disappoint.
Gharama ya kuolewa na watu wenye powerPrincess Diana na Dodi Fayed walitumbukia rasmi katika mapenzi Jumanne ya Juni 3, 1997. Siku 38 baadaye, Ijumaa ya Julai 11, 1997, Princess Diana aliwasili kwenye nyumba ya shamba la Mzee Al Fayed yenye bustani kubwa eneo la San Tropez, kusini mwa Paris, Ufaransa, akiwa na watoto wake, William na Harry.
Wakati huo Dodi Fayed alikuwa chumbani kwake na mchumba wake, Kelly Fisher, mwanamitindo wa Mmarekani. Dodi hakuwakutanisha Kelly na Diana. Wakati Baadaye Diana akiwa katika boti, ndege binafsi ilitumwa kwa ajili ya Kelly. Diana na Kelly hawakujuana.
Kelly alikasirika sana alipogundua kuwa Dodi alimzubaisha ili apate nafasi ya kumtongoza Diana. Hatimaye Diana alirejea Uingereza na watoto wake. Ndipo siku 20 baadaye, Alhamisi ya Julai 31, Diana akarejea tena San Tropez, wakati huu akiwa bila watoto wake. Bado hakujua Dodi alikuwa na uhusiano na Kelly hadi aliposikia katika vyombo vya habari.
Siku hiyo, Julai 31, Kelly Fisher alikuwa Los Angeles, Marekani, akijiandaa kwa ajili ya harusi kati yake na Dodi Fayed iliyokuwa imepangwa kufanyika Jumamosi ya Agosti 9, 1997. Lakini siku mbili kabla ya hapo akavisikia vyombo vya habari duniani vikitangaza mapenzi kati ya Dodi na Diana. Huo ukawa mwisho wa Dodi na Kelly.
Jumba hilo la kifahari lilikuwa limefungwa vinasa sauti kufuatilia mazungumzo ya Diana. Kila alichozungumza Diana hakikuwa siri kwa wale waliomfuatilia.
Huku ni rejected[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi hakuna mtu Wa Africa aliealikwa?
Nimemuona Priyanka Chopra muigizaji wa kihindi Africa sijaonaHivi hakuna mtu Wa Africa aliealikwa?
Ila inachomaa. Una hela influence mzuri na bado anatokea mngese mmoja anakuumiza.Mastaa wana dhahabu humo ndani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena wao ndo yanawakutaga!
Kweli unahitaji kumzidi Numbisa shoga angu.Huu mwaka lazima nimzidii kujua habari zaidii ngoja nimfanyie kazii
Hapana hapa nimebisha Wit [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]True mkuu...Harry akipiga ulabu huwa anaropoka mbayaa!
Kanogewa mtoto wa kizungu!
Mfano mmoja ni Bey....jigga anamzingua bidada ndani mpaka anaomba poo!Ila inachomaa. Una hela influence mzuri na bado anatokea mngese mmoja anakuumiza.
Unabisha Meghan kuwa na papuchi tamu au Harry kumsifia mke wake?Hapana hapa nimebisha Wit [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Harry mbaya sana. Kamtumia mwenzie halafu akamtosa. 7yrs halafu uniache? Nakuroga wallahAlijua anaolewa...kakamwagwa paaah!
Ndo kaishalogwa hivoo...huoni full bangi na mipombe na hizo ndevu hanyoi anapunguza tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harry mbaya sana. Kamtumia mwenzie halafu akamtosa. 7yrs halafu uniache? Nakuroga wallah
Ule mkoti jamani sijui sweta.Mke wa Idriss utafikiri katoka kujifungua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mtu