Harry anapenda bata mnoo, na kupiga chini mademu kama hana akili nzuri vile! Kweli Meghan ana zali la mentaliSio hilo mi kilichonikosha zaid ni kwamba bibi harusi alishaolewa na kuachika. Mi hapoooo tuuu. Sijui atakua na watoto!!! Na Harry anahitaji strong woman Wa kuweza kumcontrol maaan ni mzeee Wa bata mnooo. Anaitendea haki 3Ws. War, wine and women, only strong and Mature woman can Handle him.
huyu kibaka atakuwa malkia alichepuka na wasira au raila si kwa ukora huoHaha aseeh! [emoji3]
Prince Harry anaonekana ana U bad boy fulani hivi.
Nakumbuka alivyosimamia harusi ya kaka yake, ukiachana na vazi lake maalum lakini nywele zilionekana kama vile hazikuwa hata shampooed.
Mkuu hata billgates picha yake akiwa na mkewe ilivyoonekana watu wakasema inakuwaje wewe baba na hela zako zote unaoa mwanamke mmoja tu na mbaya zaidi hana hata chura.. sijui wafanye nini wabongo mridhike
Ndege hutua katika mti aupendao.Most likely! Mama yake alivyokuwa mrembo na smart huyu anatia aibu. Katika wanawake wote wa Kiingereza amekosa kabisa mke hadi aende Marekani tena demu kamzidi umri? Huyu kweli ngada inamhusu.
Hamna hyo Maisha anayoishi, ndio wajeda wengi huishi, na kama yy nae ujeda wake ummpeleka huko hio sio shida. Mi nimeipenda hii kitu mnoo, Mdada mweusi kuolewa na mtoto Wa kifalme. Full starehe, itafika sehem hii ngozi itaheshimika tu.Hata hivyo kufikia hatua hiyo wana saikolojia wamejitahidi.
Huyu kaka ana athari za kutomjuwa baba halisi. Naona mama mwenzetu alichepuka mazima
By the way, nawatakia maisha mema.
Kitendo cha kufiwa na mama mapema kilimchanganya sana na hii ilipelekea kuanza ulevi akiwa kwenye earl teen age. Ni kweli alipata msaada wa psychologist kwa tatizo hilo.Hata hivyo kufikia hatua hiyo wana saikolojia wamejitahidi.
Huyu kaka ana athari za kutomjuwa baba halisi. Naona mama mwenzetu alichepuka mazima
By the way, nawatakia maisha mema.
hizi tabia ni za waarabukoko, wakijifanya wao ni asili toka Oman, hawachananyi damu mwanamume kuoa black au kuchanganya Dini. Historia ya Babu yao mfalme Henry aliasi kwa kuoa kipenzi chake na akakubali atauachia ufalme na kuanzisha Dini ya Anglican stori za kibaguzi ni ndefu na zinawabwaga wengi tuSio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
Hapo umejichanganya. Dhehebu la Anglican lilianzishwa muda mrefu kabla ya huyo "alieyeoa kipenzi chake" aka Edward VIII (Elder brother to King George the grand grand father to Prince Harry) hajazaliwa. Natumaini ulikuwa unajitahidi kuongelea yaliyo kwenye hiyo hati.hizi tabia ni za waarabukoko, wakijifanya wao ni asili toka Oman, hawachananyi damu mwanamume kuoa black au kuchanganya Dini. Historia ya Babu yao mfalme Henry aliasi kwa kuoa kipenzi chake na akakubali atauachia ufalme na kuanzisha Dini ya Anglican stori za kibaguzi ni ndefu na zinawabwaga wengi tu
Duh! Usiniambie; that's even worse! Wafalme na ma-Prince wanaoa bikra huyu kaamua kwenda kuzoa li-mtalaka la kimarekani kabisa! Ha ha ha!katika wanawanake wenye Bahati ,,,Huyu nimiongon.
Aliwahi olewa mwaka 2011 akaachana na Tajir wake ..
Mwaka 2018 anakua Duchess !!! Hahahahaha .
Hahahahaha acha kabisaaaa mkuuu kuna wanawake Wa Bahati.balaaaa.Duh! Usiniambie; that's even worse! Wafalme na ma-Prince wanaoa bikra huyu kaamua kwenda kuzoa li-mtalaka la kimarekani kabisa! Ha ha ha!
Si mlaumu amefuata kitu roho inapenda. Hata familia yake wamekaa kimya. Wameona kilichotokea kwenye ndoa ya Charles na DianaDuh! Usiniambie; that's even worse! Wafalme na ma-Prince wanaoa bikra huyu kaamua kwenda kuzoa li-mtalaka la kimarekani kabisa! Ha ha ha!
Yaaaas! Her Majesty aligoma kuwa Di asifatwe Paris coz at that time anajihusisha na Waarabu ( refer Dodi)
Duuh!...Charles akaona huu undezi sasa ! Watoto wataichukulia vipi hiyo image? Akamchana maza ake ndo ukaona vile kibibi full kuhandle msiba kinafiki nafiki!
To be candid Di was people 's heart but in Buckingham she was a threat, traitor! To make the situation worsening, full kufichua masiri ya kifalme kwa Fayed' s family, wakaona hili sasa balaa!
...Kweli Meghan ana zali la mentali
Ila mkuu kama namuona Meghan haamini kilichotokea ( to be engaged) yaan full kujistukia!
Aende kwa King Mswati akapate darsa namna na aina ya vitu wafalme wanavyooa na sio kwenda kujizolea hovyo huko beach simply mwanamke "amekukalia vibaya" ukadhani umepata mke. Hamna ndoa hapo; nategemea talaka muda sio mrefu ujao -tuombe uzima.Hahahahaha acha kabisaaaa mkuuu kuna wanawake Wa Bahati.balaaaa.
Alitalakana na Tajiri ...Saizi anaenda kua malikia hahahahaha
ndevu ndo uchafu.....utakua unastress za uchaguzi wewe sio bureMbona limekuwa lichafuchafu namna hiyo?
Diana she was really ,unique and different !!!.Sad!, they mis treated her when she was alive, sasa mpaka kifo?
Halafu ingawa alitoka kwenye royal family pia but she was so different from them kitabia.
Na kutoka na Dodi Fayed I think she was just looking for love, ambayo hakuipata from the royal family.
She sure met her Prince.
Hii imenikumbusha zile Fairy Tale stories, which has come to life. [emoji3]
Haya mambo ya "kitu roho inapenda" yanatumika vibaya. Given his position as a member of the Royal Family ni lazima vitu vingine ujidhibiti mwenyewe. Aombe darasa kwa King Mswati akafundwe aina ya vitu wafalme wanapaswa kuoa.Si mlaumu amefuata kitu roho unapenda. Hata familia yake wamekaa kimya. Wameona kilichotokea kwenye ndoa ya Charles na Diana