inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Harry anapenda bata mnoo, na kupiga chini mademu kama hana akili nzuri vile! Kweli Meghan ana zali la mentali
Ila mkuu kama namuona Meghan haamini kilichotokea ( to be engaged) yaan full kujistukia halafu ni anaonekana anamuogopa mnoo Harry!
utamu wa mwafrika haujawahi muacha MTU mweupe Salama..dem wa kiafrika simuachi ng'o hata nipate wa kizungu..achana na akina mwajuma ndala ndefuSi mlaumu amefuata kitu roho inapenda. Hata familia yake wamekaa kimya. Wameona kilichotokea kwenye ndoa ya Charles na Diana
hapo umetaja watatu tu..wengine wana kazi gani pale Buckingham!?Mkuu, William na Harry ni askari kamili na wamefuzu Sandhurst hivyo ukiwaona na suti ni kwamba hawako kikazi.
William ni rubani wa helikopta za uokozi na Harry yumo kwenye special forces na ni kamanda anaeendesha helikopta aina ya Apache sasa hivi ana cheo cha kanali.
Baba yao ni Navy kamanda yaani anaendesha yaani akiwa majini anaendesha meli, akiwa juu anaendesha ndege za kivita na helikopta na akiwa chini ardhini anaongoza vikosi vya ardhini.
Hawa watu wanafanya kazi ambazo kwao zaitwa "engagements" ambapo hujishughulisha na mifuko na kusaidia jamii kupitia mifuko hiyo.
Wanazunguka kila mahala na wana ofisi kabisa na wasaidizi.
Hivyo, ingawa wanakula kodi ya waingereza lakini na wao wanafanya kazi.
Anhaa,
Ahsante Mkuu.
Lakini Value ya Shughuli za Jamii ambazo hawa jamaa wanaisadia UK v/s Value ya Gharama ambazo nchi inazitumia kuwatunza hawa watu, ipi nyingi??
hapo umetaja watatu tu..wengine wana kazi gani pale Buckingham!?
Nimekuelewa sana mkuuMoja kuu ni kwamba wanataka kufanya shughuli za kijamii zaidi na watakuwa zaidi wakija Afrika kule Botswana, Rwanda na Lesotho.
Meghan amefanya ziara Rwanda tayari akiwakilisha UN na amefika Botswana na Harry mwezi September.
Harry Lesotho ni kama kwake huenda kila mara.
Wanapenda Adventures na hiyo kitu ni nzuri sana.
Hivyo hawa ni wenzetu.
watu wa Buckingham palace wanakula bure..ni makupeWengine wapi hawa?
Usiwangolee hawa wazee.
Wenzetu warithishana utajiri ambao umetengenezwa karne juu ya karne.
ni kama anaiadhibu royal family!Haha aseeh! [emoji3]
Prince Harry anaonekana ana U bad boy fulani hivi.
Nakumbuka alivyosimamia harusi ya kaka yake, ukiachana na vazi lake maalum lakini nywele zilionekana kama vile hazikuwa hata shampooed.
na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!Diana she was really ,unique and different !!!.
Basi tu ndomaana walimwondosha.
ANTAKUWA AMEJIFUNZA AU KAAMUA TU KUJIHAMI!Hahaha!, lakini dudus Meghan kakufanya nini![emoji28]
The Queen herself amemkubali bwana, and she actually threw some shade at media walivyotaka kuanza kumnanga Meghan...lol
Basi Mkuu nimlichokoza mzinga wa nyukiHapo umejichanganya. Dhehebu la Anglican lilianzishwa muda mrefu kabla ya huyo "alieyeoa kipenzi chake" aka Edward VIII (Elder brother to King George the grand grand father to Prince Harry) hajazaliwa. Natumaini ulikuwa unajitahidi kuongelea yaliyo kwenye hiyo hati.
View attachment 639523
harry was dianas boy since then!Absolutely true !!! Naitabak kua ivo siku zote.
Ha ha ha! And most likely ndio maana "wamemvumilia"; otherwise, wangewapumzisha wote kama walivyofanya kwa mama yake na hawara yake.... kakitu kaonjeshwa na hategemei kabisa kuja kuwa Mfalme katika mtiririko atakaouanzisha
Sureee ,,wacha tuone ,,picha litaanzia vzur baada ya Kufunga sherehe .na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!
anajua wazi hawatampenda mkewe kama walivokuwa hawampendi mamake!
and he was dianas favorite!
katika utoto wake lazima alijua mamake wasn't happy!
anajianika zake the sun huko hana habaaare!
pombeka zke vizuuuri!
vimwana kwa raha zake!
rumor has it hata hakuwa wa Charles!
ni kama hawamwoni wa kwao kivile!
NA ANAJUA!
basi weeeee wanamkoma nahis huko ndani anawaweka tu miguu mezani na cigars!
AHAHAHAHHA
Naatamzaje kutokua navyo ???? Sana sana labda naye wampoteze .harry was dianas boy since then!
nahs ana vitu against hii familia kuhusu mamake!
NAKWAMBIA YULE BIBI itakuwa naapandisha bp kila siku!Sureee ,,wacha tuone ,,picha litaanzia vzur baada ya Kufunga sherehe .
Saizi anawapa matrela trela ,,mule ndan sijui saiz kunafanyishwa vikao ivoooooo hataree
sio watu wazuri atiii!Naatamzaje kutokua navyo ???? Sana sana labda naye wampoteze .
Hawana akili wale
Except Her Majesty & King....princess Anna, Andrew, Edward, Zara, Peter, Beatrice & Eugenia wana ishu gani?Wengine wapi hawa?
Usiwangolee hawa wazee.
Wenzetu warithishana utajiri ambao umetengenezwa karne juu ya karne.
Yes mkuu...tena kibao na wengi hawazeeka kivile ukiondoa huyo Eliza na Philipwatu wa Buckingham palace wanakula bure..ni makupe
Anawapaje presha humo ndani?na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!
anajua wazi hawatampenda mkewe kama walivokuwa hawampendi mamake!
and he was dianas favorite!
katika utoto wake lazima alijua mamake wasn't happy!
anajianika zake the sun huko hana habaaare!
pombeka zke vizuuuri!
vimwana kwa raha zake!
rumor has it hata hakuwa wa Charles!
ni kama hawamwoni wa kwao kivile!
NA ANAJUA!
basi weeeee wanamkoma nahis huko ndani anawaweka tu miguu mezani na cigars!
AHAHAHAHHA