Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Harry anapenda bata mnoo, na kupiga chini mademu kama hana akili nzuri vile! Kweli Meghan ana zali la mentali

Ila mkuu kama namuona Meghan haamini kilichotokea ( to be engaged) yaan full kujistukia halafu ni anaonekana anamuogopa mnoo Harry!
Si mlaumu amefuata kitu roho inapenda. Hata familia yake wamekaa kimya. Wameona kilichotokea kwenye ndoa ya Charles na Diana
utamu wa mwafrika haujawahi muacha MTU mweupe Salama..dem wa kiafrika simuachi ng'o hata nipate wa kizungu..achana na akina mwajuma ndala ndefu
 
Mkuu, William na Harry ni askari kamili na wamefuzu Sandhurst hivyo ukiwaona na suti ni kwamba hawako kikazi.

William ni rubani wa helikopta za uokozi na Harry yumo kwenye special forces na ni kamanda anaeendesha helikopta aina ya Apache sasa hivi ana cheo cha kanali.

Baba yao ni Navy kamanda yaani anaendesha yaani akiwa majini anaendesha meli, akiwa juu anaendesha ndege za kivita na helikopta na akiwa chini ardhini anaongoza vikosi vya ardhini.

Hawa watu wanafanya kazi ambazo kwao zaitwa "engagements" ambapo hujishughulisha na mifuko na kusaidia jamii kupitia mifuko hiyo.

Wanazunguka kila mahala na wana ofisi kabisa na wasaidizi.

Hivyo, ingawa wanakula kodi ya waingereza lakini na wao wanafanya kazi.
hapo umetaja watatu tu..wengine wana kazi gani pale Buckingham!?
 
Anhaa,
Ahsante Mkuu.
Lakini Value ya Shughuli za Jamii ambazo hawa jamaa wanaisadia UK v/s Value ya Gharama ambazo nchi inazitumia kuwatunza hawa watu, ipi nyingi??

Mkuu, nafikiri bila shaka utakuwa unaelewa kwamba huu ni ukoo wa kifalme na mali walizo nazo haziwezi kuwapa shida kwa kizazi na kizazi.

Hii familia inajishughulisha na kilimo, ina majumba ambayo wanapangisha yakiwemo ya kuishi na ya kibiashara.

Kwa mfano Charles kama na ardhi hekta 54,090 ina maana na kiasi gani ambacho kinaingia kwenye akaunti yake ya benki?

Hivyo wanafanya shughuli na wanalipa kodi pamoja na kuchunguzwa mali zao kama raia wa kawaida kupitia ile kamati ya fedha ya bunge.

Hivgo hata hizo gharama ambazo zinatumika kuwahudumia ukiangalia sana utaona kwamba kuna sehemu nao wanachangia au wanachangiwa lakini ni gharama za kifamle.

😀😀
 
Moja kuu ni kwamba wanataka kufanya shughuli za kijamii zaidi na watakuwa zaidi wakija Afrika kule Botswana, Rwanda na Lesotho.

Meghan amefanya ziara Rwanda tayari akiwakilisha UN na amefika Botswana na Harry mwezi September.

Harry Lesotho ni kama kwake huenda kila mara.

Wanapenda Adventures na hiyo kitu ni nzuri sana.

Hivyo hawa ni wenzetu.
Nimekuelewa sana mkuu
 
Haha aseeh! [emoji3]

Prince Harry anaonekana ana U bad boy fulani hivi.
Nakumbuka alivyosimamia harusi ya kaka yake, ukiachana na vazi lake maalum lakini nywele zilionekana kama vile hazikuwa hata shampooed.
ni kama anaiadhibu royal family!
hata sishangai kuwaletea chotara!
nilijua ataoa black kabisa bibi mtu kichaa kimpande!
 
Diana she was really ,unique and different !!!.

Basi tu ndomaana walimwondosha.
na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!
anajua wazi hawatampenda mkewe kama walivokuwa hawampendi mamake!
and he was dianas favorite!
katika utoto wake lazima alijua mamake wasn't happy!
anajianika zake the sun huko hana habaaare!
pombeka zke vizuuuri!
vimwana kwa raha zake!
rumor has it hata hakuwa wa Charles!
ni kama hawamwoni wa kwao kivile!
NA ANAJUA!
basi weeeee wanamkoma nahis huko ndani anawaweka tu miguu mezani na cigars!
AHAHAHAHHA
 
Hapo umejichanganya. Dhehebu la Anglican lilianzishwa muda mrefu kabla ya huyo "alieyeoa kipenzi chake" aka Edward VIII (Elder brother to King George the grand grand father to Prince Harry) hajazaliwa. Natumaini ulikuwa unajitahidi kuongelea yaliyo kwenye hiyo hati.

View attachment 639523
Basi Mkuu nimlichokoza mzinga wa nyuki
nilidhani ni Dudus wa Mchambawima mwenye ubaguzi wa rangi
ndio maana nikatupia kaHistoria hao Wafalme wanavyonogewa
ni wengi tu hata Mfalme daud alimbeba mke wa askari wake (Mkushi) wakamzaa Solomoni hebu tumuachie Harry kuna kakitu kaonjeshwa na hategemei kabisa kuja kuwa Mfalme katika mtiririko atakaouanzisha
 
... kakitu kaonjeshwa na hategemei kabisa kuja kuwa Mfalme katika mtiririko atakaouanzisha
Ha ha ha! And most likely ndio maana "wamemvumilia"; otherwise, wangewapumzisha wote kama walivyofanya kwa mama yake na hawara yake.
 
na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!
anajua wazi hawatampenda mkewe kama walivokuwa hawampendi mamake!
and he was dianas favorite!
katika utoto wake lazima alijua mamake wasn't happy!
anajianika zake the sun huko hana habaaare!
pombeka zke vizuuuri!
vimwana kwa raha zake!
rumor has it hata hakuwa wa Charles!
ni kama hawamwoni wa kwao kivile!
NA ANAJUA!
basi weeeee wanamkoma nahis huko ndani anawaweka tu miguu mezani na cigars!
AHAHAHAHHA
Sureee ,,wacha tuone ,,picha litaanzia vzur baada ya Kufunga sherehe .

Saizi anawapa matrela trela ,,mule ndan sijui saiz kunafanyishwa vikao ivoooooo hataree
 
Sureee ,,wacha tuone ,,picha litaanzia vzur baada ya Kufunga sherehe .

Saizi anawapa matrela trela ,,mule ndan sijui saiz kunafanyishwa vikao ivoooooo hataree
NAKWAMBIA YULE BIBI itakuwa naapandisha bp kila siku!
MAANA amewaaamulia hasa!
very likely anavujisha mwenyewe picha zake za vichupi!
na hivi anajua hatakuwa mfalme!
hata kakake akifa!
ANA NINI CHA KUPOTEZA!
anawapelekesha tu!
 
Wengine wapi hawa?

Usiwangolee hawa wazee.

Wenzetu warithishana utajiri ambao umetengenezwa karne juu ya karne.
Except Her Majesty & King....princess Anna, Andrew, Edward, Zara, Peter, Beatrice & Eugenia wana ishu gani?

Hapo sijamzungumzia late Princess Margeth kula kulala na kufuja mali za umma, mpenda starehe Kazi kuchukua mimeli ya kifalme na viserengeti boys huyooo Miami full bata mwaka mzima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
na harry atabaki kuiadhibu hii familia till end!
anajua wazi hawatampenda mkewe kama walivokuwa hawampendi mamake!
and he was dianas favorite!
katika utoto wake lazima alijua mamake wasn't happy!
anajianika zake the sun huko hana habaaare!
pombeka zke vizuuuri!
vimwana kwa raha zake!
rumor has it hata hakuwa wa Charles!
ni kama hawamwoni wa kwao kivile!
NA ANAJUA!
basi weeeee wanamkoma nahis huko ndani anawaweka tu miguu mezani na cigars!
AHAHAHAHHA
Anawapaje presha humo ndani?

Queen full kudata na anamuogopa Harry mbaya manake akiamua kuwafyatukia jinsi walivyomuua mamake , wote vichwa chini wanaogopa yasifike Dailmail[emoji23] [emoji23]


Halafu hata huwa hajali yaani ni msela kupitiliza
 
Back
Top Bottom