Yaani sijui kwa nini watu kwenye ndoa waki achana wanawake ndio hulalamika, ila wanaume kimya na unaweza kuta hawana kosa hata kidogo ila wameamua kuya hifadhi.
Sijui labda mwenzangu umemuelewa tofauti, ila anadai sasa "amepona......"Hajalamika flavy! Amevunja ukimya
Wengi walikua wanauliza kuhusu ndoa yake
Kuongea ongea sio hulka ya wanaume. Psychology ya wanawake na wanaume ni tofauti kabisa, jielimishe. Halafu dada hajalalamika kaweka wazi tu kitu ambacho hajawahi weka wazi mitandaoniYaani sijui kwa nini watu kenye ndoa waki achana wanawake ndio hulalamika, ila wanaume kimya na unaweza kuta hawana kosa hata kidogo ila wameamua kuya hifadhi.
Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Kumbuka Adele nae ni Mwanamke, mimi sija mzungumzia mtu bali nime izungumzia jinsia kiujumla, wewe fuatilia sana pindi wana ndoa wanapo achana, mara nyingi wanaume ndio tunaonekana tuna makosa,labda sababu ya ukimya wetu ndio unatufanya tuonekane tuna makosa.Hayo ni maneno ya Adele ,,,na si kwamba Flaviana ndo kayasema kwa maana hiyo Flaviano ameya koti maneno aliyoyasema Adele
Sasa ni jieleimishe nini wakati naijua reality na baadhi watu wangu wa karibu wana yaishi haya.Kuongea ongea sio hulka ya wanaume. Psychology ya wanawake na wanaume ni tofauti kabisa, jielimishe. Halafu dada hajalalamika kaweka wazi tu kitu ambacho hajawahi weka wazi mitandaoni
Sijui labda mwenzangu umemuelewa tofauti, ila anadai sasa "amepona......"
View attachment 2013878
Huyu hakuwa material ya kuolewa na MASSAWE kwani alishatumika sana na wale promoters wake!! Kuolewa ilikuwa kutoa GUNDU basi!!! Huyu aliyekuwa mumewe anaendelea na maisha yake huko Marekani; aliwahi kuishi Seattle nadhani sasa anaweza kuwa Atlanta.
Hawa models mara zote ni high class prostitutes!!
Tuache kuangalia mambo ya kujenga ndoa tuangalie mambo ya kuidhoofisha. Wewe haujitambui.Hata ndoa za mtaani nyingi hazidumu ni vile tu hazipo kwa spotlight.
Kuna haja ya wanaume kupewa mafunzo kama wanavyosisitizwa wanawake.
Na kuna haja ya watu kuacha kuoana ili tu kuonekana wameolewa na kuoa.
Mwisho ndoa ikiwa ngumu mnaachana tu, sio kila ndoa lazima idumu