Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Wapo wanawake ndoa ikivunjika wanapiga kimya wanaume ndo wanalalamika.Yaani sijui kwa nini watu kwenye ndoa waki achana wanawake ndio hulalamika, ila wanaume kimya na unaweza kuta hawana kosa hata kidogo ila wameamua kuya hifadhi.
Kisaikolojia mlalamishi ni mawili aidha anajitetea ili asilaumiwe ila anajua kosa lake au alikuwa akimkosea mwenzake kwa makusudi bila kujali sasa mwenzake kaamua kuchukua hatua yeye anapaniki maana hakujiandaa kuachwa.