mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mimi nimeridhika na Wangu mpenzi simuonei mtu wivu!! Kwanza mimi napenda MIZIGO!!!
Basi sawa. Waache watu na watu wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeridhika na Wangu mpenzi simuonei mtu wivu!! Kwanza mimi napenda MIZIGO!!!
Mmmmh mbona tena? anyway naheshimu maamuzi na majibu yako asante sanaHayo niliyowaambia yanatosha kama wewe ni mtu mzima utaelewa!! Wala Flaviana hawezi kupinga hayo niliyoandika kwani ni kweli tupu!
Haaaaa halooooo nyieWewe umetekwa kama ulivyosema mwenyewe, sasa walio kuteka WAMEKUFANYA VIBAYA na ndio maana ukasema mwenyewe bora mgao wa maji kuliko kutekana.
Week 2 na nusu? AiseeeNdoa nyingi siku hizi zimekua hazidumu
Nina mtu wangu wa karibu alioa ndoa yake ilidumu wiki2 na nusu tuu, tena wanandoa walifahamiana kwa miaka6 na walikua marafiki wazuri tuu.
Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Unajua Flaviana wakati anaingia kwenye urembo alikuwa binti tu katoka shinyanga na ndoto zake za kuwa electrical engineer (kama sijakosea)Well said aisee Massawe anataka kukaa na mkewe wa enjoy mkewe anataka kuwa modal na kuzunguka hana hata mpango wa kuwa na familia
Laki parefu jamani mweee. Ushapata namba au nikupatie nijishindie laki mie saa hizi?Vile nitakavyoipata mm hiyo number ndivyo na ww utaipata hiyo laki. Mm ndo nimeahidi hiyo laki, huna haja ya kuwa na wasiwasi maana hiyo number km unayo ipo tu kwenye simu lkn haikuingizii chochote ila Leo itakupatia laki. Njoo pm km kweli unayo!
Week 2 na nusu? Aiseee
Vijana wa humu kwa kuhukumu wameshindikana. Na hapo wanaandika mengi sababu tu wanaona Flavy sio level yao. Vijana wa JF wana tatizo na pisi kali na wadada celebrities. Yani ukishakua maarufu tu tayari we una shidaUnajua Flaviana wakati anaingia kwenye urembo alikuwa binti tu katoka shinyanga na ndoto zake za kuwa electrical engineer (kama sijakosea)
Unajua aliiweka ndoto zake pembeni baada ya kuona modelling inampeleka mbali na ikambidi aipambanie hadi kufika alipofika
Nina uhakika 100% Massawe wakati anaamua kumuoa alijua kabisa huyo ni beauty Queen tena akiwa katika peak ya career yake. Sidhani kama walijadiliana kuwa flavy aache shughuli zake ili awe home maker, Matter of fact Flavi alikiri kwenye kipindi cha mkasi kuwa jamaa anamsupport sana ndo maana ikawa rahisi kufunga ndoa.. so what's the point
Mnataka kumlaumu Flavy kwa kuwa Flavy au massawe kwa kuoa mke asiewezana nae au mjilaumu nyinyi kwa kuongelea issue pasipo kujua sababu
Walitisha sana. Lakini kama ndoa unaona haina ulichokiendea unatoka tu. Bora uonekane hujadumu kwenye ndoa kuliko kuogopa watanionajeDunia hii Mzigua90
Hongera zake.Katika mtandao wa kijamii wa Instagram, mwanamitindo, mwanaharakati ambae pia ni mfanyabiashara Flaviana Matata ameonekana kukiri ndoa yake ilikwishavunjika. Mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini haonekani na mume wake, wengine wakiuliza alipo mumewe.
Ni wazi kwamba ndoa nyingi za mastar ulimwenguni hua hazidumu, hivi tatizo hua ni nini haswa??
Kwa upande wa huyu mlimbwende wetu Flaviana Matata, je kuishi mbali na mume muda mrefu ndo kulipelekea ndoa kuvunjika??
Huyo mume wake yupo wapi kwa Sasa?? Je amekwishaoa?[emoji848][emoji848]
Wazo la kipuuzi kabisa hili....Hata ndoa za mtaani nyingi hazidumu ni vile tu hazipo kwa spotlight.
Kuna haja ya wanaume kupewa mafunzo kama wanavyosisitizwa wanawake.
Na kuna haja ya watu kuacha kuoana ili tu kuonekana wameolewa na kuoa.
Mwisho ndoa ikiwa ngumu mnaachana tu, sio kila ndoa lazima idumu
Ndio prostitutes wote ambao ni HIGH CLASS must have done some modeling work kwani huko ndiko wanako parade flesh yao mbele ya wanaume wenye pesa kama RUSSEL SIMMONS!Unasema models mara zote ni highclass prostitutes, kwa hiyo prostitutes wote wa high class ni model
Chidi mapenzi alitalikiana na Shamsa mapema asubuhi.ndoa zina kanuni constant milele,hakuna namna inaweza kubadilisha hiyo asili.
watu maarufu na wenye kipato huwa wanajichanganya na kuja na kanuni nyingine kwenye ndoa zao,wanapoteza kimoja wapo.
umeolewa usiku uko kwenye event za kibiashara na watu wengine.
umeolewa jamaa anakula peke yake mgahawani au home peke yake.
umeolewa watoto na mume wanahudumiwa na wasaidizi wa kazi.
kuwa mke wa mtu ni fani nyingine ambayo inahitaji muda maalum kwenye maisha ya mwanamke sio sehem tu ya muda wake.