Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

IFIKE MAHALA TUWE NA MAWAZO MAZURI PALE AMBAPO HATUNA SABABU YA KUMCHAFU MTU BILA USHAHIDI

Umeamua kumbebea bango na kumhukumu flavy kuwa mkosaji lakini hujatuambia

Huyo Massawe unayemtete unajua mambo yake ya ndani?

Hayo ya kutumika sana na promota wake umeyapimaje? Je, hadi kuamua kumuoa huyo Massawe yeye hakuwa anayajua?? Unaposema hakuwa wife material kwani Vigezo vyako vya mwanamke kuwa wife material kwako ndio vigezo vya kila mwanaume??

Unasema models mara zote ni highclass prostitutes, kwa hiyo prostitutes wote wa high class ni models[emoji849][emoji849]
Hoja nzuri sana. Hongera mama.
 
IFIKE MAHALA TUWE NA MAWAZO MAZURI PALE AMBAPO HATUNA SABABU YA KUMCHAFU MTU BILA USHAHIDI

Umeamua kumbebea bango na kumhukumu flavy kuwa mkosaji lakini hujatuambia

Huyo Massawe unayemtete unajua mambo yake ya ndani?

Hayo ya kutumika sana na promota wake umeyapimaje? Je, hadi kuamua kumuoa huyo Massawe yeye hakuwa anayajua?? Unaposema hakuwa wife material kwani Vigezo vyako vya mwanamke kuwa wife material kwako ndio vigezo vya kila mwanaume??

Unasema models mara zote ni highclass prostitutes, kwa hiyo prostitutes wote wa high class ni models🙄🙄

Sina haja ya malumbano na wewe kuhusu huyo Flaviana. Unamfahamu au umewahi kumsikia RUSSEL SIMMONS na uhusiano wake na huyo mama? Ndio maana nikasema hao ni high profile prostitutes camouflaging as models!!!
Mmezoea kudanganywa pale mnapoambiwa ukweli mnasema mnachafuliwa!!!!
 
Huyu hakuwa material ya kuolewa na MASSAWE kwani alishatumika sana na wale promoters wake!! Kuolewa ilikuwa kutoa GUNDU basi!!! Huyu aliyekuwa mumewe anaendelea na maisha yake huko Marekani; aliwahi kuishi Seattle nadhani sasa anaweza kuwa Atlanta.

Hawa models mara zote ni high class prostitutes!!
Well said aisee Massawe anataka kukaa na mkewe wa enjoy mkewe anataka kuwa modal na kuzunguka hana hata mpango wa kuwa na familia
 
Naona babycare hujaipenda nitakuletea Ile Kali zaidi.
Wewe umetekwa kama ulivyosema mwenyewe, sasa walio kuteka WAMEKUFANYA VIBAYA na ndio maana ukasema mwenyewe bora mgao wa maji kuliko kutekana.
 
Ujue mimi mzee wangu kwenye familia ni mkubwa mara nyingi huletewaga haya matatizo ya kifamilia au hata ya mtaani. Unakuta kuna binti ana mlalamikia mumewe wee, mzee huwaga anamwacha na kumwambia aje na mumewe sasa mwanaume akianza kusimulia, yaani unaona kabisa mwanamke ana kosa na yy mwisho wa siku ana kubali.

Yaani basi sometimes wanaume tuna amua kuya puuzia tu.
Wanawake wengi hupenda kuji victimize [emoji1787] hasa akijua Ana makosa

Jamaa aliemuoa hutokuja msikia Kama ni gentleman kweli kweli

Labda Kama ni dizaini za akina mama levo
 
Aliolewa na mchagga mmoja Deo Massawe ndoa nzuri kubwa hapa hapa Tanzania
Hii ilinipita Kwa kweli.

Ila hayo majina ya kina masawe wanapenda wanawake wazuri.. Ila wakishawaoa hawapendi kuwaona on spotlights hasa Kwa kutumia huo uzuri wao tu.
 
Sina haja ya malumbano na wewe kuhusu huyo Flaviana. Unamfahamu au umewahi kumsikia RUSSEL SIMMONS na uhusiano wake na huyo mama? Ndio maana nikasema hao ni high profile prostitutes camouflaging as models!!!
Mmezoea kudanganywa pale mnapoambiwa ukweli mnasema mnachafuliwa!!!!
Hebu tuambie kidogo kuhusu huyu Russel Simoons mkuu ?
 
Kama hadi mimi sha kula huyu .mlitegemea ata dumu kweny ndoa
 
Sina haja ya malumbano na wewe kuhusu huyo Flaviana. Unamfahamu au umewahi kumsikia RUSSEL SIMMONS na uhusiano wake na huyo mama? Ndio maana nikasema hao ni high profile prostitutes camouflaging as models!!!
Mmezoea kudanganywa pale mnapoambiwa ukweli mnasema mnachafuliwa!!!!

Kwani RUSSEL SIMMONS hatakiwi kuwa na mahusiano? Au yeye sio binadamu

Hebu acha wivu buana😅😅😅
 
Back
Top Bottom