Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Una kumbuka ni mwaka gani ameanza ametoka shinyanya na kuanza mambo ya models maana naona watu wansmwita binti wakati ka umri kametia nanga tangu nianze kumsikia sio leo
2007 nafikiri na Maria Sarungi
 
Mmmh mbona hauzungumzii labda alimkuta mumewe anatafunwa on bed[emoji848][emoji848]

Mambo ya ugasho yametamalaki kwa wanaume
Wanaume tunapukutika siku hizi, tunakoelekea tutakuwa lulu aisee.. humo humo kuna mapunga, bado mahanithi, bado wakosefu wa nguvu za kiume, bdo sijui nini, ni hatari na unusu arifu.
 
Wanaume tunapukutika siku hizi, tunakoelekea tutakuwa lulu aisee.. humo humo kuna mapunga, bado mahanithi, bado wakosefu wa nguvu za kiume, bdo sijui nini, ni hatari na unusu arifu.
Issue ya ukosefu wa nguvu za kiume ni stress tu si kwamba kweli tatizo hilo lipo kwa wanaume, wanawake wenyewe wanalichangia sana.

Wanawake pia wana tatizo la nguvu za kike lakini tatizo anaweza kusukumiwa mwanaume kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo.
 
😂😂😂 Mtoto ana kucha za kukuondolea stress....

Huyo ili muende sawa ujitoe ufahamu na pesa iwepo.
Bongo yenyewe tunaishi kwa kudra za Mungu tu.

Kumuona mtu ten good years maisha yake yapo level yamesimama bila kuteteleka kidogo ni mtihani kwakweli.

Yani Bongo kichefuchefu kweli kuna vitu basic kabisa kwa binadamu bado ni mtihani kwa life la kibongo.

Imagine kuna watu wanaishi kwa upambe kisa kununuliwa bia tu, kitu ambacho kila binadamu anayetumia anapaswa kuafford, ni vitu vidogo sana.

Hata demu hapaswi kukazwa kwa ajili ya Savanna na Desperado.
 
Wanaume tunapukutika siku hizi, tunakoelekea tutakuwa lulu aisee.. humo humo kuna mapunga, bado mahanithi, bado wakosefu wa nguvu za kiume, bdo sijui nini, ni hatari na unusu arifu.
Mkuu ni noma asee!

Inabidi tuwalinde sana kama lulu
 
Ndoa sio kwa kila mtu! Na sifikirii ni kosa mtu kutokua kwenye ndoa. Kosa kubwa zaidi ni kuingia kwenye ndoa kwa kufurahisha watu, na kuwaaminisha kila kitu kipo sawa wakati ndani unaumia.

Huu sio ushauri wa kwenye ndoa tuu inabidi uwe kwenye kila kitu maishani
 
Ndoa nyingi siku hizi zimekua hazidumu

Nina mtu wangu wa karibu alioa ndoa yake ilidumu wiki2 na nusu tuu, tena wanandoa walifahamiana kwa miaka6 na walikua marafiki wazuri tuu.

Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Oa au olewa na mtu mnaeshabihiana interest....
mfano mimi ni mwalimu nije nioe mwanamitindo!!???
kuna ndoa hapo!
 
Issue ya ukosefu wa nguvu za kiume ni stress tu si kwamba kweli tatizo hilo lipo kwa wanaume, wanawake wenyewe wanalichangia sana.

Wanawake pia wana tatizo la nguvu za kike lakini tatizo anaweza kusukumiwa mwanaume kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo.
Shida wenzetu hata akiwa na tatizo, ye anasubiri mjiti tu, changamoto sisi, kaa abdala kichwa wazi hajasimama dede kazi haifanyiki, huwezi iumbukiz mule hali imelala, hivyo inakula kwetu zaidi.
 
Hebu tuambie kidogo kuhusu huyu Russel Simoons mkuu ?
Kuna huu uzi wa 2010

Back
Top Bottom