Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Wapo wanawake ndoa ikivunjika wanapiga kimya wanaume ndo wanalalamika.

Kisaikolojia mlalamishi ni mawili aidha anajitetea ili asilaumiwe ila anajua kosa lake au alikuwa akimkosea mwenzake kwa makusudi bila kujali sasa mwenzake kaamua kuchukua hatua yeye anapaniki maana hakujiandaa kuachwa.
Yeah ndio inavyokuwaga, mzinguaji huwa anaishia kulia lia na kupagawa kama faiza wa jongwe
 
Ndoa nyingi siku hizi zimekua hazidumu

Nina mtu wangu wa karibu alioa ndoa yake ilidumu wiki2 na nusu tuu, tena wanandoa walifahamiana kwa miaka6 na walikua marafiki wazuri tuu.

Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Wiki 2!!!!!!!!
 
Nimeona Leonardo Di Caprio amemuowa Angelina Jolie, Will Smith na Jada Pinket, nadhani hawa watu wanatakiwa kuowana wenyewe.

Flaviana alitakiwa kuolewa na mtu kama Hasanali yani mambo yao ni yaleyale, huku Luiza Mbutu wa Twanga yupo na Farijala Mbutu mpiga gitaa, wote kazi zao kukesha kurudi nyumbani usiku mkubwa.

Ukijichanganya kujiingiza kwa hawa watu wakati wewe upo nje ya mfumo wao umeumia.
 
Katika mtandao wa kijamii wa Instagram, mwanamitindo, mwanaharakati ambae pia ni mfanyabiashara Flaviana Matata ameonekana kukiri ndoa yake ilikwishavunjika. Mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini haonekani na mume wake, wengine wakiuliza alipo mumewe.

Ni wazi kwamba ndoa nyingi za mastar ulimwenguni hua hazidumu, hivi tatizo hua ni nini haswa??

Kwa upande wa huyu mlimbwende wetu Flaviana Matata, je kuishi mbali na mume muda mrefu ndo kulipelekea ndoa kuvunjika??

Huyo mume wake yupo wapi kwa Sasa?? Je amekwishaoa?

View attachment 2014211

View attachment 2014209
Ndoa za mastaa wanawake na mashabiki wao wanaowafuatilia kila wakati huwa hazidumu..!! SABABU KUBWA NI UBEIJING... Kudai usawa ndo hupelekea kuumia sana kwa ndoa zao.. Na hii hutokana na kwamba wanajiona wanaweza bila wanaume... Kuna msemo..
MWANAUME ANAVYOZIDI KUPATA HELA, NDIVYO ANAVYOHISI KUONGEZA IDADI YA WANAWAKE... na MWANAMKE ANAVYOZIDI KUPATA HELA NINGI, NDIVYO ANAVYOZIDI KUHISI HAHITAJI MWANAUME
 
huyu demu anakoboana hivyo ni ngumu kukaa kwenye ndoa na mwanaume, siku hizi wana genge lao wanafanyaga house party weekend humo ndani wanakoboana hatari pia wananafndisha mabinti wadogo kukoboana kwa gia ya kujifanya mafeminist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende[emoji28]!

Mke akijua lazma mtemane tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I am not well versed with flavy story.

But judging from your analysis, huenda you kinda bias on your conclusion referring "Massawe alioa mke asiyewezana".

Kama Massawe alimkubali Flavy as a beauty queen to the extent of supporting her, maana yake tangu mwanzo jamaa alimpenda Flavy jinsi alivyo, alikuwa tayari kukabiliana na athari za kumpenda jinsi alivyo na pia alikuwa tayari kuwa pale kwa ajili ya Flavy.

Objectively speaking its illogical kuhitimisha kilichotokea huenda ni matokeo ya Massawe kutokubaliana na alichokubaliana nacho tangu mwanzo.

Vilevile kama Flavy hakuwa na pingamizi la kuwa anavyotaka, why would would she depart ili kuwa anavyotaka?

Kuna mawili, huenda Flavy amekuwa akitoa ushuhuda usio wa kweli au Mkuu kuna hitimisho lingine unalijua ila umetuficha makusudi.
Ndoa hufungwa kuanzisha familia kwa sisi waafrika,
 
Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende[emoji28]!

Mke akijua lazma mtemane tu..
Wewe jamaa huwa unageneralize sana inapokuja ishu mbaya inayohusu kabila la wachaga..

Wachaga walikufanya nini wewe mpare wa milimani??
 
Back
Top Bottom