Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Massawe alikosea kinoma,, angechapa ngozi akaishia hapo.
 

Mnapokubaliana kufunga ndoa, maana yake ni kwamba kuna makubaliano ya kimkakati kuhusiana na maisha yenu mmejadiliana na kukubaliana. Kubwa moja wapo ni kuhusiana na ajira na kipato.

Changamoto huja; Mmoja anapobadilika katikati ya safari ya ndoa, mfano (hauhusiani na Flavy) tunakubaliana lets say utafanya mambo ya urembo hapa US kwa 90% inayobaki utafanyia kwingine na mimi shughuli zangu zitakuwa hapa hapa ili tupate kuijenga na kuiimarisha ndoa yetu.

Baada ya ndoa unabadilika, 95% shughuli zako unafanyia nje ya US, jukumu la ndoa linakuwa si kipaumbele tena. Lazima mgogoro uanze. Na hii inareflect pande zote kike na kiume!!

Kikubwa si kufanana, unapooa au kuolewa maana yake umeongeza jukumu!! Lile jukumu unaloongeza utalimudu? Utalilea? Na makubaliano mnayokubaliana utakwenda nayo maisha yenu yote? Amini nakuambia, ukikubaliana na mwenzio na mkaenda sawa. Ndoa hudumu, ila ukibadilika tu! Umeharibu!!

Vijana wengi siku hizi hubadilika, bint mmoja alikuwa maarufu kipindi cha nyuma kidogo. Jamaa kaoa, wamekubaliana wakaishi Arusha, binti katulia tuliii ndoa inakwenda na anafanya biashara zingine kabisa tena kwa mafanikio.
 
Sisi wenye sura za mbao na miili ya majabali tutaendelea kudumu kwenye ndoa zetu daima dumu.

Wadada endeleeni kutafuta waume wenye sura nzuri ili mpige nao selfii[emoji1787]
 
Mbona sioni alipolaumiwa?
 
Mnapokubaliana kufunga ndoa, maana yake ni kwamba kuna makubaliano ya kimkakati kuhusiana na maisha yenu mmejadiliana na kukubaliana. Kubwa moja wapo ni kuhusiana na ajira na kipato.
Ndo maana kuna talaka.... watu wanabadilika na bahati mbaya mabadiliko mengine huwa yapo nje ya uwezo wetu. Utapambana we lakini unaishia kuumia moyo tu mwisho upate sonona au ufanye kitu cha kinyama. Mambo yakiwa magumu chukua time, utaumia lakini kupona ni lazima with time kama ukiamua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa cheki wanavyo haha na kulizwa na hizo ndoa?
Mbna mie nipo kwenye ndoa halali kabisa, japo ya upinde upinde,
Ila ndoa tamu bhana, weuweeeeeeeh
Haaaaa Haaaaa πŸ˜‚.,King Kong III atakuchapa wewe, ngoja aje
 
Inakera aseeee....halafu seng moja kutwa kupromote ushga hapa yani kwenye thread usitajwe mknd tayariii anaanza mxyuuu aliwe akae kimya kama ni ndoa aendelee aolewe akae kimya

Kwasisi wazazi wenye watoto wa kiume tukiona watu design ya hao wakisifia UGASHO yaani moyo unapasuka kwa hofu kuhusu wanetu!! Inasikitisha sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…