Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ni kuishi na kuchagua na pia ni makubaliano... ndo maana kuna mama wa nyumbani, walimu, manesi, wafanyabiashara n.k.... sasa wewe kama unataka huduma zote hizo chagua wa kufanana nawe. Kwa mfano huwezi kwenda kuoa mwanamke mpishi wa maharusi au mshereheshaji ukategemea upate huduma zote na hamkua na makubaliano mkianza maisha pamoja ataacha kazi zake.
Fanya mambo kiutu uzima oa mke ambaye saa by saa 11 jioni katoka ofisini yupo nyumbani kuhudumia familia bila bughudha.
OENI WA KUFANANA NANYI MSITAKE KUBADILISHA WATOTO WA WENZENU KKWA LAZIMA AMA MLIWAZAA NYIE NA KUWAKUZA MAISHA YENYEWE HAYATABARIKI UNAACHA KUFANYA YAKO KWA KUMTEGEMEA MWANADAMU AMBAYE ANAWEZA PATA TATIZO MUDA WOWOTE AU HATA MKAACHANA.
Sisi wenye sura za mbao na miili ya majabali tutaendelea kudumu kwenye ndoa zetu daima dumu.Katika mtandao wa kijamii wa Instagram, mwanamitindo, mwanaharakati ambae pia ni mfanyabiashara Flaviana Matata ameonekana kukiri ndoa yake ilikwishavunjika. Mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini haonekani na mume wake, wengine wakiuliza alipo mumewe.
Mbona sioni alipolaumiwa?Ndoa nyingi siku hizi zimekua hazidumu
Nina mtu wangu wa karibu alioa ndoa yake ilidumu wiki2 na nusu tuu, tena wanandoa walifahamiana kwa miaka6 na walikua marafiki wazuri tuu.
Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Ndo maana kuna talaka.... watu wanabadilika na bahati mbaya mabadiliko mengine huwa yapo nje ya uwezo wetu. Utapambana we lakini unaishia kuumia moyo tu mwisho upate sonona au ufanye kitu cha kinyama. Mambo yakiwa magumu chukua time, utaumia lakini kupona ni lazima with time kama ukiamuaMnapokubaliana kufunga ndoa, maana yake ni kwamba kuna makubaliano ya kimkakati kuhusiana na maisha yenu mmejadiliana na kukubaliana. Kubwa moja wapo ni kuhusiana na ajira na kipato.
Haaaaa Haaaaa 😂.,King Kong III atakuchapa wewe, ngoja aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa cheki wanavyo haha na kulizwa na hizo ndoa?
Mbna mie nipo kwenye ndoa halali kabisa, japo ya upinde upinde,
Ila ndoa tamu bhana, weuweeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aje bhana af nme mmic, namuonaga majukwaa ya siasa anakiwasha hatari.Haaaaa Haaaaa [emoji23].,King Kong III atakuchapa wewe, ngoja aje
Haaaaa Haaaaa 😂, hapa sisemi kituHakikisha unamzidi mwanamke Akili na Fedha ,Akikuzidi hivyo vitu jua utaishi kwa mateso na suluhu ni kuachana.
Muache mtoto wa watu banaHuna anaekuchokoza ni mawowowo yanakuwasha tu 🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
Mudi yule muhindi mnyaturu wa simbaBinamu umeniacha kwenye mataa
Afanye juhudi azaeInakera aseeee....halafu seng moja kutwa kupromote ushga hapa yani kwenye thread usitajwe mknd tayariii anaanza mxyuuu aliwe akae kimya kama ni ndoa aendelee aolewe akae kimya
😂😂😂😂😂😂😂😂Afanye juhudi azae
Haaaaa Haaaaa 😂.,King Kong III atakuchapa wewe, ngoja aje
Inakera aseeee....halafu seng moja kutwa kupromote ushga hapa yani kwenye thread usitajwe mknd tayariii anaanza mxyuuu aliwe akae kimya kama ni ndoa aendelee aolewe akae kimya
Acha tu..... huruma inatanda kwa watoto wetu, inasikitisha.Kwasisi wazazi wenye watoto wa kiume tukiona watu design ya hao wakisifia UGASHO yaani moyo unapasuka kwa hofu kuhusu wanetu!! Inasikitisha sana!!
Dunia aliyotuachia Mussa ndo hii,.Kwasisi wazazi wenye watoto wa kiume tukiona watu design ya hao wakisifia UGASHO yaani moyo unapasuka kwa hofu kuhusu wanetu!! Inasikitisha sana!!
Hormones zinachangia +malezi,tusimlaumu kabisa mtoto wa watu ila tuteme mate chini maana hakuna anaejua kesho ya watoto wetuAcha tu..... huruma inatanda kwa watoto wetu, inasikitisha.
Haaaaa Acha maneno mingi kijana kasema kakumisi hatari, au hujaona nikuonyeshe? 😂Hahahahaa Aiseeeee ni Shigida ,muulize ameoa au ameolewa kwenye hiyo ndoa tamuuuuuuuu.