Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1686638448263.png

Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi.

Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko wa Moyo uliotokana na kushindwa kupuma vizuri, na hata alipofanyiwa huduma ya kushtuliwa mapigo ya Moyo hakuweza kuamka na hivyo kutangazwa kuwa amefariki.

Baada ya kufanikiwa kuamka alirudishwa Hospitali na kuwekwa Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) huku timu ya Madaktari ikifanya uchunguzi zaidi kubaini kilichotokea.

================

Mourners at the funeral of an elderly Ecuadorean woman were startled to discover she was still alive. Bella Montoya, 76, was declared dead last week following a suspected stroke. Five hours into her wake on Friday, relatives preparing to change her clothes ahead of the burial found her gasping for air.

Ms Montoya is now back in hospital in intensive care, and Ecuador's health ministry has set up a committee to investigate the incident. In a statement, the ministry said that the woman went into cardiorespiratory arrest - a loss of breathing and heart function - and did not respond to resuscitation attempts.

The doctor on duty confirmed her death. Her son, Gilber Rodolfo Balberán Montoya, was quoted by local media as saying that his mother had been "admitted around 09:00, and at noon a doctor told me [she] died".

Ms Montoya was then placed in a coffin for several hours until she was seen by family members trying to breathe. A video posted on social media showed her lying in an open casket and breathing heavily while several people crowded around her.

Paramedics are then seen arriving and observing Ms Montoya before moving her on to a stretcher and into an ambulance. Now she is in intensive care in the same hospital where doctors declared her death.

AFP news agency quoted Mr Balberán as saying: "Little by little, I am grasping what has happened. Now I only pray for my mother's health to improve. I want her alive and by my side."

AFP
 
Lazma kuna watu watakuwa wanawekwa mochwari wakiwa hawajakata moto
Hakika na huko mochwari sasa ndio wanafariki. Nakumbuka sijui ilikuwa mwaka gani, but way back in early 2000's ilitokea Magomeni pale mataa baada ya maiti kugonga jeneza kwa nguvu na kufunua ule mfuniko na watu wote wakakimbia mpaka dereva🤣🤣 yeye akabaki anawashangaa. Hii iliripotiwa mpaka kwenye vyombo vya habari
 
Hakika na huko mochwari sasa ndio wanafariki. Nakumbuka sijui ilikuwa mwaka gani, but way back in early 2000's ilitokea Magomeni pale mataa baada ya maiti kugonga jeneza kwa nguvu na kufunua ule mfuniko na watu wote wakakimbia mpaka dereva🤣🤣 yeye akabaki anawashangaa. Hii iliripotiwa mpaka kwenye vyombo vya habari
Duuh, iko serious
 
Wale ndugu zetu wavaa kobazi huwa wana zika watu wengi wakiwa hai
1450106738.jpg
 
Kwa uku afrika ukishatangazwa kua umedanja ww hutakiwi Tena kuamka na ukiamka jamii itajua ww ni mzimu
 
Back
Top Bottom