Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Pole mpendwa, kumbe na wewe ni mlokole wa mwendokasi 😂Ilishawahi nitokea, ngumi ya mgongo tena kwa kushtukiza...utaenda chini bila kupenda
Hapana mimi sio mlokole kabisa lakini nimezungukwa na walokole wengi , siku nikajikuta huko kwa mtumishiPole mpendwa, kumbe na wewe ni mlokole wa mwendokasi 😂
Haya ndiyo mambo yanayofsnya wstu wskstishwe tamaa kumtafuta Mungu maana wansona ni kama everiwea watakapokwenda itakuwa ni maigizo tuKama viongozi wa dini hawamuogopi Mungu, na wanachezea jina lake kwa maslahi yao, ingawa wanadai wana ushuhuda wa miujiza yake, waumini wafanyaje?
Siwalaumu watu wasiyo na imani na dini kabisa.
Sasa yeye alichelewa nini kuanguka bana?Mwanamke mmoja ameshindwa kuzuia hasira zake baada ya kudai kupigwa ngumi ya usoni na mchungaji wakati akimuombea.
Katika video iliyopostiwa kwenye Mtandao wa TikTok, mwanamke huyo anaonekana akiongea kwa hasira kwamba mchungaji alikuwa akimuombea na kumpiga ngumi kwa uchungu usoni kama njia ya kumsukuma kuanguka chini ili kudhihirisha kwamba ameingiwa na Roho Mtakatifu. chanzo. Global Publishers.
View attachment 2355194
Hakika mkuu, na ubaya dini zimekuwa sehemu ya biashara, viongozi wa dini wamekuwa matapeli wa kwanza.Haya ndiyo mambo yanayofsnya wstu wskstishwe tamaa kumtafuta Mungu maana wansona ni kama everiwea watakapokwenda itakuwa ni maigizo tu
Pole sana mkuuIlishawahi nitokea, ngumi ya mgongo tena kwa kushtukiza...utaenda chini bila kupenda
Karama mkuuBiblia imefundisha watu wajiombee wenyewe kwa jina la Yesu awasikii Acha wadundwe tu kwa kukosa maarifa. Mchungaji ana kipi cha ziada ambacho muumini hana
Poleni sana, wanawake mnapitia mengi kwenye hayo makanisa ya kilokole.Ilishawahi nitokea, ngumi ya mgongo tena kwa kushtukiza...utaenda chini bila kupenda