Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Umenena vema mkuu, lakini mambo yanayoendelea yanafanya mtu uquestion hizi dini sometimes, ingawa ukaribu na Mungu unakuwa umebaki palepale.Kuwepo matapeli sio excuse kabisa. Biblia imeweka wazi siku zetu hizi manabii wa uongo watakuwa wengi na watadanganya wengi. Tena ikasema kwa matunda yao tutawatambua.
Kwa hiyo kwa anayesoma Biblia anajua hizi ni nyakati za hatari na kuwepo hawa watumishe ni uthibitisho wa Neno la Mungu.
Kuwepo pesa feki ina maana kuna OG. So badala ya kukataa pesa zote jifunze kujua feki na OG
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwamposa huwa anasukuma kwenye paji la uso. UwiiiohIlishawahi nitokea, ngumi ya mgongo tena kwa kushtukiza...utaenda chini bila kupenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wafia Dini watakushukia km mwewe.Ujinga wa waafrika,
Mnaacha kufanya kazi mnaenda kusomewa biblia na mjanja mmoja na pesa mnachunishwa, upuzi kabisa.
Dini ni silaha kubwa ya umaskini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee sanaaaa.Nilinyanyuka akarudia tena uli nirudi chini. Sifanyi tena huo ujinga wa kwenda sehemu kama hizo[emoji28]
Poleni sana, wanawake mnapitia mengi kwenye hayo makanisa ya kilokole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mwamposa sasa, unaona mate yanaruka km Elininyoo, uwiiiiiihKuna mmoja akanishika kichwa ananiombea basi anafoka mate yanaruka kama mvua, ile mvua kweli si ya kitoto. Ilibidi nijiangushe chini ili kuepuka hiyo kero.
Nilitoka hapo nanuka mate ya mtumishi
Jamaa aliwanawa kweli aiseNa wale wanapigwa upara kwa wembe, tena kule mbele na watumishi wao kulee ghana, dunia ina wonders sana
https://www.facebook.com/
Ukiangalia matapeli unaweza kudhani Walokole ni matapeli. But ukweli ni kuwa waganga wa kienyeji, matapeli ya mjini na vitombi nao wanajiita walokole.Umenena vema mkuu, lakini mambo yanayoendelea yanafanya mtu uquestion hizi dini sometimes, ingawa ukaribu na Mungu unakuwa umebaki palepale.
Pole sana aisee!Kuna mmoja akanishika kichwa ananiombea basi anafoka mate yanaruka kama mvua, ile mvua kweli si ya kitoto. Ilibidi nijiangushe chini ili kuepuka hiyo kero.
Nilitoka hapo nanuka mate ya mtumishi
Bwana ninae...huyu baba watotoPole sana aisee!
Ila mtafute Bwana maadam anapatikana!
PoleIlishawahi nitokea, ngumi ya mgongo tena kwa kushtukiza...utaenda chini bila kupenda
Nashukuru sana mkuu, nimeongeza maarifa mapya. Lakini nachoweza kusema tuko kwenye darkest times.Ukiangalia matapeli unaweza kudhani Walokole ni matapeli. But ukweli ni kuwa waganga wa kienyeji, matapeli ya mjini na vitombi nao wanajiita walokole.
Ila kuna watumishi wa Mungu wamenyooka kama rula na wana lengo moja tu, kuhakikisha kondoo wao wanaenda mbinguni. Kama kuna mtu yuko confused nimwelekeze mahali salama. Wapo wengi tu, sema sio maarufu!
Cha msingini mtu kujua hata siku ile Yesu atawaambia sikuwajua ninyi. So kabla hujakaa chini ya mtu au kanisa hakikisha kwanza wanamheshimu Mungu. Kama hawamheshimu Mungu jua utakuwa kinyago chao!
Naamini umewahi soma haya maneno ya Yesu mwenyewe
“Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao.
Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.”
Mt 7:15-20
Na hii hapa
“Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.”
Mt 7:21-23
Sawasawa. Baba watoto atakusaidia siku ukisimama kuhukumiwa Sawasawa n ulivyovunja amri za Mungu kwenye dunia yake 👏👏👏Bwana ninae...huyu baba watoto
Exactly! Ukizubaa shetani anakula kichwa!Nashukuru sana mkuu, nimeongeza maarifa mapya. Lakini nachoweza kusema tuko kwenye darkest times.
Mungu ninaye mwamini mimi mwenye huruma na moyo wa kusamehe hataniteketeza kamwe!Sawasawa. Baba watoto atakusaidia siku ukisimama kuhukumiwa Sawasawa n ulivyovunja amri za Mungu kwenye dunia yake 👏👏👏
Lazima uanguke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwamposa huwa anasukuma kwenye paji la uso. Uwiiioh
Unaendaga kws mwamposa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mwamposa sasa, unaona mate yanaruka km Elininyoo, uwiiiiiih
Sawa sawa. Na wahindu nao mungu wanayemwamini ni nishati, na wachawi mungu wanayemwaini... na waabudu mashetani mungu wanayemwamini...Mungu ninaye mwamini mimi mwenye huruma na moyo wa kusamehe hataniteketeza kamwe!
Na ni yeye mwenyewe aliyeniumba na udhaifu wa hizi mnazoziita "dhambi". Angetaka niwe mkamilifu angeniumba anavyotaka niwe.