Mwanamke adai kupigwa ngumi na mchungaji wakati wa maombi

Ushauri wako naupotezea.
Umeandika mambo yakufikirika tu na tayari umejiaminisha kuwa mawazo yako ni sahihi ila ya wengine ni pumba.
Kila mmoja abaki na mungu wake anaye mwamini. Mwisho wa siku kila mtu kivyake...
 
Ushauri wako naupotezea.
Umeandika mambo yakufikirika tu na tayari umejiaminisha kuwa mawazo yako ni sahihi ila ya wengine ni pumba.
Kila mmoja abaki na mungu wake anaye mwamini. Mwisho wa siku kila mtu kivyake...
Ni jambo jema pia japo sio mawazo yangu ni Biblia ndio inafundisha hivyo. Mwisho wa siku kifo kitasema nani mkweli nani mwongo.

By then atakayekuwa chaka itakuwa too late.

Uwe na siku ya baraka!
 
Ni jambo jema pia japo sio mawazo yangu ni Biblia ndio inafundisha hivyo. Mwisho wa siku kifo kitasema nani mkweli nani mwongo.

By then atakayekuwa chaka itakuwa too late.

Uwe na siku ya baraka!
Biblia imeandikwa na watu kama wewe.
Uwe na siku njema.
 
Biblia imeandikwa na watu kama wewe.
Uwe na siku njema.
Naam ndivyo inavyosema. Ila waliongozwa na Roho Mtakatifu. Na kama umewahi isoma kwa kina hata sehemu ndogo tu utahakikisha hilo. Chanzo sio mwanadamu ila wanadamu walitumika kuandika.

Anyway siku ukiwa na wakati na una mood ya kujifunza nishtue nikupitishe kwenye hili somo uone mwenyewe.

Ahsante kwa kunitakia siku njema!
 
Haya ndiyo mambo yanayofsnya wstu wskstishwe tamaa kumtafuta Mungu maana wansona ni kama everiwea watakapokwenda itakuwa ni maigizo tu
Shetani anahakikisha vitimbi haviishi kwenye numyumba za ibada ili ku-divert watu wasimfuate Mungu.
Baadhi ya Watumishi wamekengeuka, ni vema utafute kanisa ambalo utakua na amani kumwabudu Mungu katika roho na kweli.
 
Ingekuwa hivyo zilipoanziwa ulaya na uarabuni wangekuwa masikini wa kutupwa
Umaskini sio mali tu hata fikra, umaskini wa fikra ndio unawasumbua.

Dini sio mbaya, ila watumiaji na namna wanaitumia imekua ni kama kichaka.

Mtu hajishughulishi kwa chochote, anashinda kwenye maombi, chochote anachopata anakimalizia huko, kesho na keshokutwa ana shida kubwa aidha ya kifedha anawageukia watu na kutaka misaada (ila kumbuka hawa watu wanavuja jasho kwa kipato wanachoombwa na mwanamaombi) ni maisha ya aina gani haya kama sio uzombi.
 
Sasa huyu haijui dini.Dini zote uendana na kazi, kwani Kazi ni sehemu ya ibada. Utamtolea nini Mungu bila kazi.
 


Hiki kichwa cha habari ukikutana nacho lazima uanze kucheka tu!
 
Wachungaji wa mchongo wametapakaa kila sehemu siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…