kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Habari ndugu zangu,
Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam .
Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi kamasi hali ambayo mchumba wake alimtamkia hatoweza kukifua hicho kitambaa atafua mwenyewe jamaa alimueleza sisi ni wapenzi unashindwaje kufua kitambaa changu cha mafua na unajua sisi tutaishi mda mrefu je siku mwenzio mtu kati yetu akijinyea kwa sababu ya ugonjwa itakuaje kitambaa cha mafua tu kinakutoa imani mwanamke alimjibu am sory bby ila sintoweza kukifua.
Wakuuu naombeni mnishauri nimshauri jamaa yangu kama huyu anastahili kuwa mke asante