Mkuu mimi nakuelewa upo upande wa ustaarabu wa kawaida na uungwana kiujumla, kitu ambacho wengi wanatofautiana, kuna mwingine atapenga pembeni kisha kufuta pua kwa kitambaa, kuna mwingine atapenga zigo lote kwenye kitambaa. Sasa suala la usafi mwanamke kwa kuelewa kundi la muemewe sasa ndiyo alete ushauri lakini SIYO KUKATAA kumfanyia usafi mumewe.
Kuna wanawake wanaishi na wanaume wanakunywa pombe na kukojoa kitandani ila bado wapo na wanapendana na usafi anafanyiwa. Mapenzi kitu ingine kabisa jomba.