Mwanaume huwa anapokujia tambua hajakupenda ila kavutiwa na wewe yaani asilimia 15 ndiyo ambazo zinamfanya mwanaume kukufuata, hizo 15 ni muonekano wako, jinsi ulivyo nje.
Kuolewa sasa inategemea asilimia 85 zilizobaki ambazo ni muenendo wako kiujumla kulingana na utashi wa mwanaume husika.
Tunaomba msamaha huwa tunawadanganya tutawaoa mwanazoni kwasababu zile 15% huwa zina influence kubwa sana tunapowatazama hivyo kufanya juu chini mpaka muingie box, then after that akili ikikaa sawa narudi kucheki 85% ambazo huwa ndiyo yenye kutoa maamuzi kamili nikuweke ndani au nizidi komaa na 15 % huku nikiendelea kutafuta mwenye kukidhi zile 85%.
Karucee