Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Na kile cha kufutia kamasi za wakubwa atafua Nani?Sasa shida iko wapi? Si huyo mwanaume afue tu hicho kitambaa cha kamasi zake. Khaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi nakuelewa upo upande wa ustaarabu wa kawaida na uungwana kiujumla, kitu ambacho wengi wanatofautiana, kuna mwingine atapenga pembeni kisha kufuta pua kwa kitambaa, kuna mwingine atapenga zigo lote kwenye kitambaa. Sasa suala la usafi mwanamke kwa kuelewa kundi la muemewe sasa ndiyo alete ushauri lakini SIYO KUKATAA kumfanyia usafi mumewe.Hata angekuwa ni mke. Hivi kweli upenge kamasi umpe mkeo afue?!
Yaani nguvu za kupenga katika mapua yake anazo ila sio za kufua.
Na huyo mwanamke anakuwa sio mzimaMkuu mimi nakuelewa upo upande wa ustaarabu wa kawaida na uungwana kiujumla, kitu ambacho wengi wanatofautiana, kuna mwingine atapenga pembeni kisha kufuta pua kwa kitambaa, kuna mwingine atapenga zigo lote kwenye kitambaa. Sasa suala la usafi mwanamke kwa kuelewa kundi la muemewe sasa ndiyo alete ushauri lakini SIYO KUKATAA kumfanyia usafi mumewe.
Kuna wanawake wanaishi na wanaume wanakunywa pombe na kukojoa kitandani ila bado wapo na wanapendana na usafi anafanyiwa. Mapenzi kitu ingine kabisa jomba.
Hakuna chepesi. Ni suala la kujitoa. Hushawahi fikiria what if mumeo kwa bahati mbaya akapata tatizo kuamka hawezi, yaani haja ndogo na kubwa zote hapo alipolala na wewe ndiye uliye naye utaweza msimamia?Kazi kweli kweli.
Unataka kusemaje?Na huyo mwanamke anakuwa sio mzima
Yaani mtu anakojoa kitandani kwa makusudi sababu ya ulevi wake yeye anacheka nae.....huo sio ujinga kweli?!Unataka kusemaje?
Umejibu vema. Basi elewa unapewa wa kuendana naye ambaye atakuwa tayari kujitoa kwa kila hali kwaajili yako kwasababu ANATHAMINI UWEPO WAKO KATIKA MAISHA YAKE.Na huyo mwanamke anakuwa sio mzima
"kwa makusudi" "sababu ya ulevi" unataka nikujibu kupitia kwa makusudi au kwa sababu ya ulevi?Yaani mtu anakojoa kitandani kwa makusudi sababu ya ulevi wake yeye anacheka nae.....huo sio ujinga kweli?!
Ndio. Sasa mtu anajua pombe haziwezi, akinywa anaharibu, unaita ni bahati mbaya hiyo?!"kwa makusudi" "sababu ya ulevi" unataka nikujibu kupitia kwa makusudi au kwa sababu ya ulevi?
Mwenyezi Mungu amuepushie Mume wangu kipenzi.Hakuna chepesi. Ni suala la kujitoa. Hushawahi fikiria what if mumeo kwa bahati mbaya akapata tatizo kuamka hawezi, yaani haja ndogo na kubwa zote hapo alipolala na wewe ndiye uliye naye utaweza msimamia?
Kila binadamu ana mapungufu yakeNdio. Sasa mtu anajua pombe haziwezi, akinywa anaharibu, unaita ni bahati mbaya hiyo?!
Ameen. Umemaliza. Sina cha kuongeza.Mwenyezi Mungu amuepushie Mume wangu kipenzi.
Ndugu yangu mume mtamu, asipokuwa na Furaha siku unaiona chungu, kutwa kumpigia umsikie sauti yake... alichelewa kurudi haki tafrani..Sasa kuumwa ushindwe kumtunza?