Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

Kwahiyo ulivyosimuliwa nawe ukasema ngoja niende jf nikawaulize solutions?
Je, akisoma mhusika si atakuona matter core?
 
Hakuna chepesi. Ni suala la kujitoa. Hushawahi fikiria what if mumeo kwa bahati mbaya akapata tatizo kuamka hawezi, yaani haja ndogo na kubwa zote hapo alipolala na wewe ndiye uliye naye utaweza msimamia?
What if mwanamke akipata tatizo kama hilo haja zote kitandani unafkri huyo mwanaume atabaki au ataweza kumsimamia vitu vingine wanaume wanakuza ambavyo havina msingi ukute mwanamke anamfanyia kila kitu kasoro hizo kamasi hayo mengine hamuoni mnaona hizo kamasi tu
 
Binafsi ukiwa mchumba/mke wangu halali yaani naweza fanya yote hayo. Kuna factors nyingi za kuzingatiwa na kuangaliwa japo kutokana na mada imeelezea moja wapo tu. Siyo kukuza ila tunaliangalia hili kwa upana na katika angle tofautitofauti.
 
Jaman mi nikimpenda mtu naweza hata mtawaza kabisa
Huwa sina kinyaa kwa mtu naempenda
Ila pia Kuna watu wana vinyaa tu si ni kawaida tu
 
Kwani hicho kitambaa bei gani? Si akitupe na kununua kingine au kufua kwani siku zote nani anamfulia?
 
Nyie mtakua bado watoto. Pumbavu kabisa. Hebu kuweni kuweni mlete mada za kueleweka. Eti hiki nacho ni kipimo cha kupata mke. Eeh kbobori cha varimu. Kiboo cha ndesie
 
Nyie mtakua bado watoto. Pumbavu kabisa. Hebu kuweni kuweni mlete mada za kueleweka. Eti hiki nacho ni kipimo cha kupata mke. Eeh kbobori cha varimu. Kiboo cha ndesie
Odee kuchuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi ukiwa mchumba/mke wangu halali yaani naweza fanya yote hayo. Kuna factors nyingi za kuzingatiwa na kuangaliwa japo kutokana na mada imeelezea moja wapo tu. Siyo kukuza ila tunaliangalia hili kwa upana na katika angle tofautitofauti.
Wanaume hawana moyo wa kuvumilia na uhakika angekua huyo dada anaumwa sizan kama hii mada ata ingeletwa jukwaani ila kwa sababu ni mwanaume.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…