Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

Shida yako ni nini usaidiwe ni "Me"

Usaliti wa kijinsia, mada yako ni muhimu, ila imekaa kisaliti, hivi mwanaume usipokuwa bahili, usipojipenda, usipokuwa mfalme hivi kuna tofauti na toy la kiume?
 

Umeona eenhe! Nilidhan ni mwanamke mwenye nick name ya kiume, ila avatar yake tena ikanirudisha kwenye mstari.
 
Daah kwa hzo sifa mnazoztaka labda mjiumbe wnyw wengne tutabak kuitwa ma shemej!!
 
Hivi kuna mtu ambaye anakosekana hapo??? Labda umuumbe mwenyewe
 
Mimi sikwaziki kwa hoja.

Ila ninachoamini ni kwamba siko sawa na mwanamke.

Lakini mkuu, kwani kuna mwanaume anakuwa na mimba kiasi cha kusema wanawapa/wanagawa mimba kwa wanawake?

Mimba siku zote ni ya mwanamke na ni matokeo ya kujamiiana kavu.
Hilo linajulikana kwamba anayebeba mimba ni mwanamke na anayesababisha ni mwanaume sasa kama amesababisha na ameshindwa kutunza au akaikana hilo unalionaje? je nisimkosoe eti kwakuwa ni mwanaume mwenzangu? unatakiwa ubadilike kimtazamo penye ukweli sema hata kama na wewe utakuumiza
 
wewe ni ke au me? mbona hio sifa hamna mwanaume anayechomoka sehemu? halafu pia usipende kupendelea weka na za wanawake pia, maana naona na wao wanaingia kwenye hizo hizo sifaa, na sisi tusiwaoe basi tuone wakina nani watafunga ndoa.
 
Usaliti wa kijinsia, mada yako ni muhimu, ila imekaa kisaliti, hivi mwanaume usipokuwa bahili, usipojipenda, usipokuwa mfalme hivi kuna tofauti na toy la kiume?
Kama mwanume ni mfalme basi mwanamke awe malkia,siyo mwanaume ni mfalme mwanamke ni mjakazi hakuna kitu kama hiyo tafuta popote duniani,mwanaume anatakiwa kuipenda familia yake na si kujipenda mwenyewe hiyo siyo sifa yake sasa unapoacha watoto na mke nnumbani wanakula maharage wewe unaenda kula nyama choma huo ni ubinafsi,unakuwa bahili kwa mkeo unataka kutumia na nani au unatafuta pesa kwa ajili ya nani? au kama ni miradi yote ni kwa ajiri ya nani? na siku zote wanaume wanaokuwa mabahili kwa wake zao kwa mahawara ni watoaji wakubwa hapo tusiseme eti kwakuwa ni mwanaume mwenzangu? kuwa na mtazamo chanya,ukiwa mfalme mke wako au mpenzi wako awe malkia siyo mjakazi, una swali?
 
wewe ni ke au me? mbona hio sifa hamna mwanaume anayechomoka sehemu? halafu pia usipende kupendelea weka na za wanawake pia, maana naona na wao wanaingia kwenye hizo hizo sifaa, na sisi tusiwaoe basi tuone wakina nani watafunga ndoa.
Hata ukijua kuwa mimi ni ke au me haitakusaidia na hapa hatushindani ila tunawekana sawa tu,hebu tujadili hii iliyokaa kiupande hala ya upande wa pili itakuja siku nyingine wapi haujaelewa twende pamoja
 
Wewe mwenyewe unaonekana unamatatizo kwanza mbaayaaa pili huna figa so hufai

wewe nawe ndo nini ku-quote thread nzima?si u-edit tu!wengne tunatumia cmu huku unakera!alah..
 
Mada nimeipenda sana hasa aina 10,hakuna kitu nachukia kama mtu mwenye kisirani,asiye sahaukitu haraka,mwenye manung'uniko.ukiwa na mtu kama huyo nibora uwe na gunia la dagaa ukampe muuza daga auze akupe pesa ukatumie.
 
thread nzuri sana. hasa nimependa hiyo namba nane. mwanaume bahili sio husband material kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…