moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,493
Shida yako ni nini usaidiwe ni "Me"
Usaliti wa kijinsia, mada yako ni muhimu, ila imekaa kisaliti, hivi mwanaume usipokuwa bahili, usipojipenda, usipokuwa mfalme hivi kuna tofauti na toy la kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yako ni nini usaidiwe ni "Me"
Nimeshangaa sana.
Inakuwaje mwanaume eti anajikunja kuandika kitu kama hiki au ndo wale madear na mahoney nilopishana nayo kwenye thread flani kule!!!
Na mwanaume mwenye tabia za kike huwa yupo upande wa kike kuelezea habari za wanaume wenzie,naye ni wa kuepukwa na wanaume.
Weka na tabia za mwanamke asiyefaa kuwa nae kwenye mahusiano ili I balance.
Hilo linajulikana kwamba anayebeba mimba ni mwanamke na anayesababisha ni mwanaume sasa kama amesababisha na ameshindwa kutunza au akaikana hilo unalionaje? je nisimkosoe eti kwakuwa ni mwanaume mwenzangu? unatakiwa ubadilike kimtazamo penye ukweli sema hata kama na wewe utakuumizaMimi sikwaziki kwa hoja.
Ila ninachoamini ni kwamba siko sawa na mwanamke.
Lakini mkuu, kwani kuna mwanaume anakuwa na mimba kiasi cha kusema wanawapa/wanagawa mimba kwa wanawake?
Mimba siku zote ni ya mwanamke na ni matokeo ya kujamiiana kavu.
Kama mwanume ni mfalme basi mwanamke awe malkia,siyo mwanaume ni mfalme mwanamke ni mjakazi hakuna kitu kama hiyo tafuta popote duniani,mwanaume anatakiwa kuipenda familia yake na si kujipenda mwenyewe hiyo siyo sifa yake sasa unapoacha watoto na mke nnumbani wanakula maharage wewe unaenda kula nyama choma huo ni ubinafsi,unakuwa bahili kwa mkeo unataka kutumia na nani au unatafuta pesa kwa ajili ya nani? au kama ni miradi yote ni kwa ajiri ya nani? na siku zote wanaume wanaokuwa mabahili kwa wake zao kwa mahawara ni watoaji wakubwa hapo tusiseme eti kwakuwa ni mwanaume mwenzangu? kuwa na mtazamo chanya,ukiwa mfalme mke wako au mpenzi wako awe malkia siyo mjakazi, una swali?Usaliti wa kijinsia, mada yako ni muhimu, ila imekaa kisaliti, hivi mwanaume usipokuwa bahili, usipojipenda, usipokuwa mfalme hivi kuna tofauti na toy la kiume?
Hata ukijua kuwa mimi ni ke au me haitakusaidia na hapa hatushindani ila tunawekana sawa tu,hebu tujadili hii iliyokaa kiupande hala ya upande wa pili itakuja siku nyingine wapi haujaelewa twende pamojawewe ni ke au me? mbona hio sifa hamna mwanaume anayechomoka sehemu? halafu pia usipende kupendelea weka na za wanawake pia, maana naona na wao wanaingia kwenye hizo hizo sifaa, na sisi tusiwaoe basi tuone wakina nani watafunga ndoa.
Daah kwa hzo sifa mnazoztaka labda mjiumbe wnyw wengne tutabak kuitwa ma shemej!!
Wewe mwenyewe unaonekana unamatatizo kwanza mbaayaaa pili huna figa so hufai
Ukatae wote hao? Labda.kama utajioa mwenywe.
Kwahiyo wewe kwako asiye bahili ndiyo husband material?thread nzuri sana. hasa nimependa hiyo namba nane. mwanaume bahili sio husband material kwakweli.