Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
nina sifa kama mbili hapo,Ee Mola niondelee tabia hizo mbaya.
Aamin Bwana harusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina sifa kama mbili hapo,Ee Mola niondelee tabia hizo mbaya.
Ndiyo maana nikasema hapo kama umempenda uvumilivu unahitajika mtu hubadilika taratibu,na kama hakuna uvumilivu basi tena utajikuta una msululu wa wapenzi uliotembea naomagombe junior nafikiri chance ya kubadilika kwa mtu huwa ni ndogo sana,na kubadilika kwenyewe ni mpaka mtu mwenyewe aamue lakini si kwa kushauriwa au kuombwa badilike na famili au mke wake,nimeiexpirience hii maishani mwangu na inaumiza sana.
Kuna watu hawana kazi ila hata kujishughulisha kuzitafuta hizo kazi hawataki au wanachagua kazi na kazi ikiisha ndani ya mahusiano si huyo mpenzi wako anakuwa anajua issue haiko kwako ipo kwake kama anakupenda atakuvumilia kulingana na ukubwa wa tatizo. Pia siku ya kwanza ndo siku ambayo mwanamke hutambua kuwa anamwanaume wa aina gani na ndo siku ambayo wanaume wengi hujitutumua ili wasionekane.Mkuu no 2 kuna watu utakuwa huwatendei haki, kuwa na kazi au kutokuwa na kazi siyo factor. Unaweza kuwa kwenye kazi ndani ya mahusiano kazi ikaisha utamshauri waachane atafute mwenye kazi??!!!! Halafu kipimo cha kujishughulisha ni kipi??!! No 8 pia kuna watu huwatendei haki, kwani ukitoka na manzi mara ya kwanza hela unatakiwa uhesabie usoni kwake??!! Pia kama anamchagulia ni kutokana na uwezo wake asije fedheka baadae kushindwa kulipa bill, vinginevyo kama wa kipato cha chini hawana nafasi katika mapenz.
Mkuu unaweza kusema mwanamke anataka wenye pesa lakini si kweli unaweza ukawa na pesa na mwanamke mzuri lakini akawa anachit anatoka na mtu asiye na pesa tena yawezekana yeye akawa anamsaidia hizo pesa umeshwahi kujiuliza ni kwanini? kuna mtu humu kalalamika mpenzi wake ameumwa amemgharamia kila kitu lakini bado akaambiwa hajui kujaliMkuu siku hizi wanaangalia personality ya mtu na kuchanganua kama hapa kuna mgodi kabla haja kuuliza unafanya kazi gani.
Ili tuseme umemuua nyoka lazima tuthibitishe kuwa kafa haujaelewa nini hapo mkuu10. Mwanaume mwenye kisirani na asiyeweza kumuuwa nyoka akafa :
sijaielewa vema hii hasa kipande cha mwisho, waweza kumuua nyoka halafu asife!
Wanawake ni rahisi kuwaongopea na ukapata unachokihitaji ndo maana hata nyoka hakumfuata Adam pale bustaniniKwa bahati mbaya wanawake waliotulia huolewa na wanaume vicheche
Point! Manake hamna mwanaume anayenusurika katika hizo sifa.....issue ni kuangalia mzigo ambao utaweza kuubeba.