Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Bado hawajafika wale wa kusifia wazungu ?
Hawa vijana wanaotumiana tu bila bila kuombewa unawazungumziaje?Uhuru wa hivyo uliondoka na medieval ages.Ndiyo maana wazee wa jadi, masheikh,wachungaji na viongozi wa imani hualikwa kuombea watu wawili wakatumiane kwa baraka.
Hao ni magaidi waliotekana.Hawa vijana wanaotumiana tu bila bila kuombewa unawazungumziaje?
Ok, nimeelewa.Hao ni magaidi waliotekana.
Kula uzee Mzee wangu, dunia yenyewe tunapita hiiMada za maana kabisa hizi...😋View attachment 3678030
Aaaah kaka wapiga nyeto unatufananisha na mlombwa na umbwa kweeeli??Pengine yeye mazingira anayo ishi hana soko vijana hawamkimbilii ni sawa na wapiga nyeto tu