Crisheb956
Member
- Dec 26, 2018
- 21
- 13
Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za wanawake ambazo wanaume wengi wanapuuzia au wanashindwa kuzielewa.
1. Tabasam
Ukimwongelesha mwanamke akakujibu/ asikujibu ila akatabasam....jua anataka muendele kwaiyo unaeza round the bush afu badae ukatia swaga zako za namba.
2.Kushika nywele
Ukiwa unaonge na mwanamke na akawa anashika nywele zake zaidi ya mara moja jua una weza tia swaga hapo
3.Kujipitisha/ kupenda kuonekana(attention)
Akikuona anapenda kujipitisha mbele zako mara nyingi.....mda mwingine anaongeza manjonjo zaidi.
Mengine wadau ongezeeni......[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app