Mwanamke akifanya haya jua tayari amekuzimikia

Crisheb956

Member
Joined
Dec 26, 2018
Posts
21
Reaction score
13
Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za wanawake ambazo wanaume wengi wanapuuzia au wanashindwa kuzielewa.

1. Tabasam
Ukimwongelesha mwanamke akakujibu/ asikujibu ila akatabasam....jua anataka muendele kwaiyo unaeza round the bush afu badae ukatia swaga zako za namba.

2.Kushika nywele
Ukiwa unaonge na mwanamke na akawa anashika nywele zake zaidi ya mara moja jua una weza tia swaga hapo

3.Kujipitisha/ kupenda kuonekana(attention)
Akikuona anapenda kujipitisha mbele zako mara nyingi.....mda mwingine anaongeza manjonjo zaidi.

Mengine wadau ongezeeni......[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedha,money,mbongo,miticash,mkwanja,au uchawi wa mzungu,ndo kila kitu
mtu anatongoza leo na anakula leo ni fedha tu,hata sepenga ukimuendea na mkwanja kama 5m na unamwambia twende tukakutanishe vikojoleo,hachomoi na unakula mzigo siku hiyo hiyo..
 
Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za wanawake ambazo wanaume wengi wanapuuzia au wanashindwa kuzielewa.

1. Tabasam
Ukimwongelesha mwanamke akakujibu/ asikujibu ila akatabasam....jua anataka muendele kwaiyo unaeza round the bush afu badae ukatia swaga zako za namba.

2.Kushika nywele
Ukiwa unaonge na mwanamke na akawa anashika nywele zake zaidi ya mara moja jua una weza tia swaga hapo

3.Kujipitisha/ kupenda kuonekana(attention)
Akikuona anapenda kujipitisha mbele zako mara nyingi.....mda mwingine anaongeza manjonjo zaidi.

Mengine wadau ongezeeni......[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yote ya nini hayo papaa!!tafuta gari ndio uchawi na ulimbo kwa mtoto wa kike,utan'goa kila demu umtakae!! Hata mke wa MTU,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa siku hizi kuwapata hata si pesa kama wachangiaji wengi walivyochangia, "Ni ujanja tu" wanaume wenye pesa wanakuwa ma_sponsor wa maisha ya wanaume (wanjanja) wasio na pesa.
.
"Unahonga unaemuhonga anaenda kuhonga alipopenda" na kumfanyia mengi yenye viwango vya dhahabu kupitia fedha za sponsor.
 
Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za wanawake ambazo wanaume wengi wanapuuzia au wanashindwa kuzielewa.

1. Tabasam
Ukimwongelesha mwanamke akakujibu/ asikujibu ila akatabasam....jua anataka muendele kwaiyo unaeza round the bush afu badae ukatia swaga zako za namba.

2.Kushika nywele
Ukiwa unaonge na mwanamke na akawa anashika nywele zake zaidi ya mara moja jua una weza tia swaga hapo

3.Kujipitisha/ kupenda kuonekana(attention)
Akikuona anapenda kujipitisha mbele zako mara nyingi.....mda mwingine anaongeza manjonjo zaidi.

Mengine wadau ongezeeni......[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

TEH MBONA MM WENGI TU
 
Nikw

Nikweli kabisa
 
Akikuomba hela ya pango hapo ndiyo jua kabisa anakutaka akupe
Mlipie pango atakuja mwenyewe ulipo hajavaa gagulo
Kaka kuwa na mbinu za kisasa
 
Back
Top Bottom