Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
2461778_IMG_20200720_215724.jpg


Eid Mubarak y’all…

Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu.

I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.

Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti, umbo anavyotembea, macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.

Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume. Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression.

Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.

kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?
Screenshot_2021-10-07-13-17-38-85.jpg


Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.

Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery. Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.

Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata.

Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno. Ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.

Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.

Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.

[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja😉😉]
[UNSET].jpg


[Naombeni radhi nyote mliyochukizwa na mada hii, halikua kusudia langu kuwachukiza]

Vinci…
 
Ukiwashobokea sana hawa wenzetu wanakuona fala, Ukitaka kuWin mioyo yao. Wewe Care, then Don't care. They'll start to care about you, to know why you donte care anymore.

Hii haifanyi kazi kwa kila mwanamke, kuna wengine Smart, Confident and Intelligent. They don't need your approval. So wasomaji muwe makini to know when to shoot and when not to.

FB_IMG_16514938660472599.jpg
 
Ukiwashobokea sana hawa wenzetu wanakuona fala, Ukitaka kuWin mioyo yao. Wewe Care, then Don't care. They'll start to care about you, to know why you donte care anymore.
View attachment 2210040
True 100% ukiwashobokea unakuwa fala na utapata tabu siku ukitaka kumtongoza Ile real

Wanawake Wana Tabia Moja wanataka uanzishe conversation, kuwatania, kuwaita kila mara, kuwapigia simu hata meseji kuwatumia. Mbaya zaidi ukijenga mazoea nao wanakuchukulia fala ishu ni ugumu mwanzo mwisho.
 
Mitandao ya kijamii kwa sasa imekua msaada mkubwa sana kwao.

Hawezi ikosa mtandaoni japo kama kitaa kuna mtu anamuadmire basi maumivu ni palepale.

Hiyo kitu kwa sasa ipo sana mashuleni, hawa wa kitaa wanajipoza mtandaoni akipost tu mijitu 100+ tayari iko inbox inachombeza.
 
True 100% ukiwashobokea unakuwa fala na utapata tabu siku ukitaka kumtongoza Ile real

Wanawake Wana Tabia Moja wanataka uanzishe conversation ,kuwatania ,kuwaita kila mara, kuwapigia simu hata meseji kuwatumia. Mbaya zaidi ukijenga mazoea nao wanakuchukulia fala ishu ni ugumu mwanzo mwisho
Naam hivyo ndio wapendavyo, wao wanataka uwape muda wako kila mara uwe nao karibu. They want to have your attention ila muda unavyozidi kwenda they're gonna dump you. Ndio maana hata darasani yule aliyekuwa anapenda kupiga stori sana na maduu huwa anaishia kula kwa macho. But wale wasio na habari nao wadada ndio wanafaidi maisha
 
Mitandao ya kijamii kwa sasa imekua msaada mkubwa sana kwao.
Hawezi ikosa mtandaoni japo kama kitaa kuna mtu anamuadmire basi maumivu ni palepale.

Hiyo kitu kwa sasa ipo sana mashuleni, hawa wa kitaa wanajipoza mtandaoni akipost tu mijitu 100+ tayari iko inbox inachombeza.
Kama humu tu unakuta unamfuata fuata mdada kila uzi, pm hukatiki. Mwambie tu unamwelewa angalia welekeo wake then sepa.

Ndio uanaume bwana..😉
 
Naam hivyo ndio wapendavyo, wao wanataka uwape muda wako kila mara uwe nao karibu. They want to have your attention ila muda unavyozidi kwenda they're gonna dump you. Ndio maana hata darasani yule aliyekua anapenda kupiga stori sana na maduu hua anaishia kula kwa macho. But wale wasio na habari nao wadada ndio wanafaidi maisha
Mkuu sikuwahi kuwaza hii hali kitaalamu inaitwaje?
 
Mkuu sikuwahi kuwaza hii hali kitaalamu inaitwaje ?
Hukuwahi kuwaza ila uliwahi kushuhudia, right. I don't know how to call it. But mwanamke ni kiumbe Complex hasa kadri unavyodhani kuwa unaanza kumfahamu kumbe ndio unazidi kuingia chaka. Ila ukielewa Saikolojia yao.. It's so Easy ti win them
 
Hukuwahi kuwaza ila uliwahi kushuhudia, right. I don't know how to call it. But mwanamke ni kiumbe Complex hasa kadri unavyodhani kua unaanza kumfahamu kumbe ndio unazidi kuingia chaka. Ila ukielewa Saikolojia yao.. It's so Easy ti win them
Hahah mkuu hebu weka dondoo kadhaa hapa kuhusu how ulielewa saikolojia zao hawa watu.
 
Hahah mkuu ebu weka dondoo kadhaa hapa kuhusu how ulielewa saikolojia zao hawa watu.
Well as nilivyosema mwanzo kabisa I'm not something of an expert on this matter but I'm trying to explain the obvious by analysing their patterns. Si unajua mwanaume unatakiwa uwe hatua kumi mbele ya mwanamke so japo kila mwanamke ana tabia yake na values zake lakini kuna vitu common wote hufanana japo wao wenyewe wanaweza kukataa kua hawapo hivyo but deepdown wanajua wapo hivyo.

Mfano kila mwanamke duniani anatamani kua na Authority juu ya mwanaume ndio ukimruhusu hata kidogo mwanamke akafanya hilo basi unakua umeua kizazi chako chote.

So cha msingi ni kuNotice their common patterns kisha kuzifanyia kazi.
 
Okay sasa mkuu unadhani ili kumkamata mwanamke unatakiwa umpe authority juu yako au unatakiwa umnyime authority juu yako ?
Swali lako umeliweka kimtego kweli. But haina shida I'm very good on deciphering code...
Mwanamke inatakiwa awe na authority juu yako kwamba wewe ni mume wake na anahaki ya kukuweka relini pindi unapotoka nje ya misingi ya kua mume.

But authority ninayokataa kwamba hutakiwi kumpatia ni ile ya kumfanya awe Dominant halafu mume awe Submissive. Kwenye mahusiano ya ndoa or mapenzi lazima mmoja kati yenu awe na "Ndevu" mwingine asiwe nazo. Kwamba mwenye ndevu (Dominant) ndio awe mwenye mamlaka makuu na sauti kuu juu ya wale wasio na ndevu (Submissive)
 
Back
Top Bottom