Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Aiseee kwa hiyo mi najiremba ili kupata attention toka kwa wanaume!!!!![emoji16]
Binafsi napenda kujiremba sijawahi waza nijirembe ili nipate attention lkn i know i have to keep smart myself yani jipende ww mwenyewe kwanza,
Trust me kila mwanamke husema hivyo karibia %yote ya wanawake hua hawavai nguo ajili yao. Either kuwatambia mashosti au ili kuwapagawisha wanawake.

Hebu nikuulize, unadhani ni kwanini wadada wanapiga picha wamebinua makalio, naaimini nawe unazo picha za hivyo. Unadhani wanaume hatujui kua mna makalio?? Kwanini wadada hufanya hivyo hasa?? Kwanini hupenda kuweka viungo vyao sensitive wazi unadhani wanafanya ajili yao??

Kuhusu kutokuitwa au kupigiwa miluzi mi sizingatii ata wamepiga au hawajapiga yan hio mm hainihusu wala kunipa maswali labda km hawajapiga it's not my concern, All in all kupata attention toka kwa mtu unayempenda ni muhimu sana nadhani tumeumbwa hivyo .
Trust me mate all women are attention seeker ndio maana mara nyingi humjali yule mwanaume anayewapa muda wake.
Kuna wengine wanawake wakivaa nguo nzuri watu fulani wasipowaona basi wanajisikia vibaya. Ipo hivyo bibie
 
Uko sahihi mzee ila hili linaendaga na level of confidence ya wanawake tofauti. Kuna ambao wako so confident hawa hawaitaji approval yeye akivaa vizuri akapendeza anaji feel freshi tu the only attention she needs ni toka kwa mwanaume anaevutiwa nae ila kuna wengine wana dress to impress!
 
Uko sahihi mzee ila hili linaendaga na level of confidence ya wanawake tofauti. Kuna ambao wako so confident hawa hawaitaji approval yeye akivaa vizuri akapendeza anaji feel freshi tu the only attention she needs ni toka kwa mwanaume anaevutiwa nae
si ndio hapo

naona thread ina mada mbili

ila hii care then don’t care ataumia siku moja 😅😅😅😅😅
 
si ndio hapo

naona thread ina mada mbili

ila hii care then don’t care ataumia siku moja 😅😅😅😅😅
Ninajiharibia eeh... na inaniumiza kweli kweli basi to I can't swallow my pride and Ego
its simple when u r not conplicating things …..
Ukisema Kwamba usicomplicate mambo ili uone dunia ni simple kuiishi means that kuna mambo magumu umepretend Kwamba hayapo but they're still out there -Existing

See, Ipo siku tu utayaface tena hata kama sio wewe basi kizazi chako. Technically life is not that simple mate
 
Huu uzi ni ukweli 100%.
Kuna workshop fulani niliwahi kufanya kazi, sehemu ambayo watu walitembeza vitu mbalimbali kuuza. Kuna manzi moja kama 22yrs alikuwa anauza juisi mida ya mchana kila siku.
Yule manzi alikuwa mzuri wa sura, umbo, sauti, na kila siku alipendeza tofauti, mtu muongeaji na wa kujichanganya na watu. Kwa kuwa pale workshop wafanyakazi wengi tulikuwa wanaume tena bachelors, wanawake walivalia namna ambavyo waliamini watateka attention ya wanaume ili kurahisisha biashara na udangaji.
Ikawa kila yule manzi muuza juisi anapofika masela wanachanganyikiwa balaa, wataanza kumwita kwa jina, kila mmoja anataka kuwa wa kwanza kuhudumiwa juisi, mwingine hata change hadai, kila mtu anataka amsemeshe yaani shobo mwanzo mwisho.

Lakini Mimi nilimuona wa kawaida tu, wala sikuwahi kupata hamu ya kununua juisi yake. Baada ya muda alishtuka watu wote pale workshop walishawahi kununua juisi kwake na kumshobokea isipokuwa Mimi tu(wengine hawakugundua).
Mara siku moja baada ya kuuzia wengine akaja sehemu nilipokuwa;
Yeye: Kaka mambo?
Mimi: Shwari,
Yeye: juisi?
Mimi: Asante.
Ikawa kila siku lazima ajipitishe mbele yangu kunisalimia na kuuliza kama nahitaji juisi lakini tofauti na salamu pamoja na asante ya kukataaa juisi sikuwa na story ya pili na yeye. Kilichomvuruga zaidi mara kibao amewahi kunikuta na wanawake wengine. Ilifika mahali akimaliza kuuza juisi anakaa sehemu ya mbali kidogo ananipiga chabo halafu kama ana mawazo.

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, ukiwaheshimu wanakudharau na ukiwadharau wanakuheshimu. Hata mkeo ukimuona kama celebrity yeye atakuona kama shabiki. Kanuni ni kuwachokonoa self esteem. Bila kubabaishwa na kiwango chake cha uzuri, mchukulie kama vile .......... Then utaona response yake kwako.
 
Uliyoyaandika hayana uhalisia kwangu!
Aiseee kwa hiyo mi najiremba ili kupata attention toka kwa wanaume!!!!![emoji16]
Binafsi napenda kujiremba sijawahi waza nijirembe ili nipate attention lkn i know i have to keep smart myself yani jipende ww mwenyewe kwanza,
Kuhusu kutokuitwa au kupigiwa miluzi mi sizingatii ata wamepiga au hawajapiga yan hio mm hainihusu wala kunipa maswali labda km hawajapiga it's not my concern, All in all kupata attention toka kwa mtu unayempenda ni muhimu sana nadhani tumeumbwa hivyo .
Nyie ndio wale wanawake wa " nakuja ghetto lkn hatutafanya chochote" maneno yenu hayaendani na matendo mliyokusudia.
Hakuna mwanamke asiyependa attention, hasa ya wanaume. Mwanamke anajiremba kwa sababu kubwa mbili;
1. Kushindana na wanawake wenzie, na
2. Kupata attention ya wanaume, wengine wana force kwa kutafuta sababu ya kuinama au kunyoosha mikono juu wakizuga wanaseti nywele kumbe wanataka kuonesha matiti.
 
Usikariri maisha!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sie tunaojielewa hatuvai kupendeza ili tushindane na wanawake wenzetu , pia kuvutia wanaume is not the main issue,ukijua kuwa unatakiwa kujipenda basi utahakikisha unavaa vizuri unapendeza you look smart and clean that's all,siwezi mm kukaa rough eti kisa nikipendeza ntaonekana nataka kuwa impress wanaume No never!Aiseee ktk umri huu hapana hizo sababu zako zipo lkn we are not the same(women).
 
Trust me kila mwanamke husema hivyo karibia %yote ya wanawake hua hawavai nguo ajili yao. Either kuwatambia mashosti au ili kuwapagawisha wanawake.
Hebu nikuulize, unadhani ni kwanini wadada wanapiga picha wamebinua makalio, naaimini nawe unazo picha za hivyo. Unadhani wanaume hatujui kua mna makalio?? Kwanini wadada hufanya hivyo hasa?? Kwanini hupenda kuweka viungo vyao sensitive wazi unadhani wanafanya ajili yao??

Trust me mate all women are attention seeker ndio maana mara nyingi humjali yule mwanaume anayewapa muda wake.
Kuna wengine wanawake wakivaa nguo nzuri watu fulani wasipowaona basi wanajisikia vibaya. Ipo hivyo bibie
Sa hivi ndio nimemuelewa yule aliyesema umeanzisha mada ndani ya mada hapa,naona kabisaaaaaa kuna mada zaidi ya moja ktk hii thread yako sasa sijui km tutaelewana,
Anyway hata mm ktk sentence yangu mwishoni nimesema ni muhimu sana kupata attention toka kwa mtu unayempenda.
 
Hahah mkuu ebu weka dondoo kadhaa hapa kuhusu how ulielewa saikolojia zao hawa watu.
Kaangalie documentary za sex life of lions au soma article kama hz
JPEG_20220504_172909_7491949118011791439.jpg
 
Kama unaona uko sahihi mimi sina tatizo na muono wako huo mkuu maadamu haubadilishi uhalisia wowote ule.
Well, moja ya indicator Kwamba Wanawake wanatamani authority aliyonayo Mwanaume hua wanasema"Ningekua mwanaume ningefanya hivi na hivi" but Sijawahi kusikia Mwanaume akisema anatamani kua mwanamke
 
Sawa,sisi wengine tunasoma comment tu

Kwa hio mjadili kwa busara ili tupate la kujifunza
😊😊😊
 
Back
Top Bottom