Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Kumbuka kwanza Mkuu kiini cha maongezi yetu na hili unalotaka tujadili hapa ilikua mfano.
Btw, napenda zaidi utoe fikra zako nami nitoe zangu sio mimi ndio naandika tu wewe unauliza maswali. Funguka fikra zako zinavyokuambia nami nijifunze. Ninapoandika hapa sio kwamba nipo sahihi 90%
Jibu jepesi ulilitakiwa kumjibu hapa ni "mwanamke anapenda mwanaume ambae ni mwanaume".

So anzeni kujadili sifa za mwanaume ambae ni mwanaume Kama hazijui.
 
Well, kila mtu atakuambia hivyo. But I assure you nikiwa nawe in 2days nitagundua kils kitu kukuhusu. Na hata kama haupo hivyo itakua ajili ya umri na majukumu uliyonayo ndio unaona vitu hivyo havina maana kwako but deepdown vipo ndani yako hata kama you don't feel it. Unajua hua tunakua miili na Experience tu ila roho zetu zinabaki vile vile.... So unatakiwa upate the one who will scratch your floor and reveal the dark side of yours 😉
Maybe anauwingi wa testosterone ktk mwili wake!.
 
Ukiwashobokea sana hawa wenzetu wanakuona fala, Ukitaka kuWin mioyo yao. Wewe Care, then Don't care. They'll start to care about you, to know why you donte care anymore.

Hii haifanyi kazi kwa kila mwanamke, kuna wengine Smart, Confident and Intelligent. They don't need your approval. So wasomaji muwe makini to know when to shoot and when not to..
View attachment 2210040
Ni kweli kabisa ulichoongea mkuu. Lakini kabla ya yote hii picha ya pili ni wakati jofrey aliposhikiwa panga na arya, hapo alikuwepo na sasa na butchers boy na namaria. Me ni mpenzi mkubwa wa GOT. Twende kwenye mada

Wakati nipo form 6 alikuwepo demu mmoja ambae kiukweli alikua mzuri na wanafunzi wengi wakipita lazima wamsalimie na kutaka kuzungumza nae mawili matatu. Yule demu alikua mkali sana kwa biology na alikua PCB wakati mimi nilikua PCM. Kiukweli alikua kwa somo la bio yuko vizuri sana na mimi nilikua niko vizuri kwenye Math na Physics, so matokeo yakitoka ye huko anaongeza kwa Bio halafu mimi naongoza kwa physics na math. Kwa vile nilikua bize sana kwenye masomo sikua hata na stori nae na kuna siku tukapangwa group moja pale skuli kwa somo la chemistry but mimi nlipoona nipo group nae nikamuomba mwalimu nitolewe. Kumbe yeye akilini mwake anaona najiona sana, na mimi akilini mwangu nahisi kwamba mwanamke mzuri kila mwanafunzi anamtaka mimi wa nini, bora nijipinde tun na masomo. Tumeendelea hivo mpaka sometime huwaambia rafiki zangu me mbona niko tofauti na wanafunzi wengine au kwakua kaka angu ananisomesha physics nimekuwa hodari, kaka angu anajuulikana sana pale skuli kwa sababu aliwahi kupiga A ya physics. Siku hiyo nimetulia lakini karibia na mitihani ya mwisho wa mwaka uvumilivu ukamshinda, akenda kutafuta suala gumu la simple harmonic motion akanielete na kuniomba samahani kama atanikera lakini nimsaidie, kusema ukweli hakutaka nimsaidie maana ilo suali lilikua gumu kwake na yeye sio mtu physics, sijui alilenga nishindwe au vipi. Na mimi hiyo nafasi sikuichezea maana nlimwambia mimi sikariri formula ikabidi nimpige pindi la SHM kuanzia mwanzo hadi mwisho na baadae nkasolve suali lake than nikamuomba awe ananisaidia chemistry kwenye tropic ya organic chemistry. Tukaendelea na stori na mpaka tumegraduate tukawa tuko pamoja, siku moja moja nikawa napewa tunda fresh maana alikua anaogopa sana mimba, tuliachana yeye alipoenda kusoma uturuki na mimi nikakomaa hapa vyuo vya tanzania. Hatujaonana mpaka leo

Kuna kesi pia baada ya kua sina habari na demu mwisho nikala tunda iliwahi kunitokezea chuo.
Nakumbuka wakati naanza kazi katika serikali pia iliwahi kunitokea kwa demu fulani ambae sikua na habari nae ila yeye sikuwahi kumla kwa sababu nliona itaharibu ishu za kazi na ukizingatia hata mkuu wa kitengo nae alikua akimfuatilia ila mimi sikua na habari nae
 
Jf hii sijui kama kuna shabiki wa GOT kunishinda😅
Alikua anaitwa Nymeria, butcher boy sliuawa na Sendor Clegane (The hound) Arya alinifurahisha alivyompa kichapo Jofrey. Shenzi kabisa

Back to the topic, Ndio ilivyo jitahidi umtafute huyo gal. Mimi mtu anayependwa na wengi ndio simtaki kabisa. Sipendi kua kwenye msafara wa kenge wakati mimi ni mamba, yaani nimpangie Foleni mwanamke mmoja..yeye ni nani hasa.

Nina visa kadhaa sema sipendi kusimulia personal issue zinszohusu wengine humu ningeasimulia. But this past two weeks nimejionea mengi kutoka kwa hawa wenzetu aisee
 
Jibu jepesi ulilitakiwa kumjibu hapa ni "mwanamke anapenda mwanaume ambae ni mwanaume".

So anzeni kujadili sifa za mwanaume ambae ni mwanaume Kama hazijui.
Nilitaka kufupisha maongezi maana tusingefika kikomo.
Maybe anauwingi wa testosterone ktk mwili wake!.
Hua wanajisemesha tu, Ila ukweli wanao wenyewe
 
Jf hii sijui kama kuna shabiki wa GOT kunishinda😅
Alikua anaitwa Nymeria, butcher boy sliuawa na Sendor Clegane (The hound) Arya alinifurahisha alivyompa kichapo Jofrey. Shenzi kabisa
Ni kweli Got ilikua kitu kengine kabisa, nilitamani pale Nymeria alipokuja kukutana na arya mara ya mwisho akiwa na wolf wengine (sijui kama ni watoto wake au vipi). Nlichotamani arya angechukua kundi lote lile wakenda kupambana na the army of the dead. Wolf alopambana na walking dead na ni Ghost tu wa Jon Snow. Wengine wote walifariki na mpaka muvie inaisha ghost alikua yuko hai even though sir alliser thorn alikua hampendi
Back to the topic, Ndio ilivyo jitahidi umtafute huyo gal. Mimi mtu anayependwa na wengi ndio simtaki kabisa. Sipendi kua kwenye msafara wa kenge wakati mimi ni mamba, yaani nimpangie Foleni mwanamke mmoja..yeye ni nani hasa.

Nina visa kadhaa sema sipendi kusimulia personal issue zinszohusu wengine humu ningeasimulia. But this past two weeks nimejionea mengi kutoka kwa hawa wenzetu aisee
Saivi nimeshaoa na nina familia. Lakini ndo hivyo ukiwa mkimya ni rahisi kuwala kuliko wale maneno mengi na waongeaji sanaa. Na ukiwa mkimya hata demu mwenyewe anakuogopa na ukiongea basi automatic anapay attension ya utakachoongea because they believe utakachoongea kwake huwezi kumueleza mwanamke mwengine. Napenda hasa kua na wanaume wenzangu tukapiga strori kuliko hata kukaa na gals actually
 
Hahhaha wanawake bwana.

Ukiwa mtu ambaye huna time na vitu vidogo wanaweza kukuona hauko romantik.

Imagine akivaa hereni umsifie hata kama yuko kawaida,akivaa shanga umsifie hata kama yupo kawwida.

Yaani hiyo inaonesha kwwmba wanawake mindset zao wanavaa au wanafanya vitu ili wasifiwe,hawafanyi vitu kwa ajili yao wenywwe,wanakuwa bado ni watumwa.

Hata kwenye tendo la ndoa wwnawakewengi mindset zao wanafanya tendo kwa ajili ya waume ndio maana wanaweza kukunyima hilo tendo kama adhabu.

Mimi nadhani hizi mindset wanawake waziwache ila nadhani ni mindset wamejengewa tokea wanazaliwa so ni vigumu sana kuziwacha.

Huwezi kuta mwwnaume anamlalamikia mkewe kwamba hajamsifia kama kapendeza.
Ndivyo walivyo; wachache wanaweza kubadilika, waliobaki watakuwa hivyo siku zote.
 
Well, moja ya indicator Kwamba Wanawake wanatamani authority aliyonayo Mwanaume hua wanasema"Ningekua mwanaume ningefanya hivi na hivi" but Sijawahi kusikia Mwanaume akisema anatamani kua mwanamke
Dah mkuu maelezo yako yananichanganya sana.
 
Ni kweli Got ilikua kitu kengine kabisa, nilitamani pale Nymeria alipokuja kukutana na arya mara ya mwisho akiwa na wolf wengine (sijui kama ni watoto wake au vipi). Nlichotamani arya angechukua kundi lote lile wakenda kupambana na the army of the dead. Wolf alopambana na walking dead na ni Ghost tu wa Jon Snow. Wengine wote walifariki na mpaka muvie inaisha ghost alikua yuko hai even though sir alliser thorn alikua hampendi.
Alliser Thorne hakua hampendi tu Ghost bali Jon snow na rafiki zake wote. Alikua anamkandia balaa sijui alimkosea nini.
Ghost ndio MVP wa show kila sehemu alitoboa. Nilisahau Direwolf wa Bran Summer alikufaje nikakumbuka alikufua kwenye Pango la Three Eyed Raven.

Mbona mafunzo ya Faceless man hayakua na faid yotote kwenye The long night battle...
FB_IMG_16047678342445325.jpg

Saivi nimeshaoa na nina familia. Lakini ndo hivyo ukiwa mkimya ni rahisi kuwala kuliko wale maneno mengi na waongeaji sanaa. Na ukiwa mkimya hata demu mwenyewe anakuogopa na ukiongea basi automatic anapay attension ya utakachoongea because they believe utakachoongea kwake huwezi kumueleza mwanamke mwengine. Napenda hasa kua na wanaume wenzangu tukapiga strori kuliko hata kukaa na gals actually
Kweli kabisa,
 
Eid Mubarak y’all…

Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote amabo andiko hili litaSound vibaya kwenu.

I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.

Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti,umbo,anavyotembea,macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.

Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume…..Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression………Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.

kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?

Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.

Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery.
Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.

Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata. Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno……ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.

Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.

Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.

View attachment 2210022
[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja😉😉]

Vinci…
Wako wale wenye hulka ya kutotulia.....hao hata uwape "roho" yako....itaondoka na wala hawatothamini chochote....

Tabia ni ngozi.....
 
Alliser Thorne hakua hampendi tu Ghost bali Jon snow na rafiki zake wote. Alikua anamkandia balaa sijui alimkosea nini.
Ghost ndio MVP wa show kila sehemu alitoboa. Nilisahau Direwolf wa Bran Summer alikufaje nikakumbuka alikufua kwenye Pango la Three Eyed Raven.

Mbona mafunzo ya Faceless man hayakua na faid yotote kwenye The long night battle...
View attachment 2211542
Ni kweli kulikua mafunzo yalihitajika kwa arya ili kulipiza kisasi kwa names alizokua nazo, juu ya hivyo alifanikia kwa walder frey na Ser Meryn Trant lakini wengine wote hakuwaua yeye. Cercie, the mountain, jofrey. Owh nimekumbuka alimuua the tickler na yule aliyempokonya needle yake. Kwenye night king ilikua ni green eye tu.
Kitu chengine pia tuliambiwa kwamba bran anaenda kujifunza jinsi ya kudeal na night king lakini hakukua na kitu isipokua uwezo wake tu wa kuweza kuona matokeo yaliyotokea
 
Jibu jepesi ulilitakiwa kumjibu hapa ni "mwanamke anapenda mwanaume ambae ni mwanaume".

So anzeni kujadili sifa za mwanaume ambae ni mwanaume Kama hazijui.
Hahah.

Mwanaume anatakiwa awe vipi ?

Hilo ni swali ambalo litakuwa na majibu tofauti sana na hatutopata kauli moja kwa sababu wanawake wanaathiriwa na mazingira tofauti tofauti.

Mtoto wa kike wa kizanzibari mindset yake ni tofauti na mtoto wa kike wa kikurya,kuna mambo lazima watakuwa hawafanani tu
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, ukiwaheshimu wanakudharau na ukiwadharau wanakuheshimu.
Hii binafsi nimeona nilipokua chuo
Hostel wanawake walikua wanasema naringa nikabaki najiuliza kivp na salam huwa nawapa
Baada ya kuanza kunywa nao bia na kuwashika viuno wakaanza tena kumbe ww sio mtu mzuri 🤣🤣🤣
 
Kama humu tu unakuta unamfuata fuata mdada kila uzi, pm hukatiki. mwambie tu unamwelewa angalia welekeo wake then sepa.
Ndio uanaume bwana..[emoji6]
Uliza waillipfuata fuata inbox kusema wametuelewa wakasepa,nn kilifuata?
Hata sisi tunapiga kimya vzr sana tu!
Kila mmoja anaendekea na maisha take yaani
 
Trust me kila mwanamke husema hivyo karibia %yote ya wanawake hua hawavai nguo ajili yao. Either kuwatambia mashosti au ili kuwapagawisha wanawake.
Hebu nikuulize, unadhani ni kwanini wadada wanapiga picha wamebinua makalio, naaimini nawe unazo picha za hivyo. Unadhani wanaume hatujui kua mna makalio?? Kwanini wadada hufanya hivyo hasa?? Kwanini hupenda kuweka viungo vyao sensitive wazi unadhani wanafanya ajili yao??

Trust me mate all women are attention seeker ndio maana mara nyingi humjali yule mwanaume anayewapa muda wake.
Kuna wengine wanawake wakivaa nguo nzuri watu fulani wasipowaona basi wanajisikia vibaya. Ipo hivyo bibie
Mbona mi sina picha ya kubinua makalio?umekariri mkuu?

Kupendeza hivi jmn kunahusiana na attention?
Duh yaani siwezi asee lzm nipendeze tu kwakweli,kuniona na kunisifia mime/mpenzi wangu huyo ndo mhimu wengine sio issue
Duh basi balaa hili?
Mbona mi napenda mwanaume anaependeza,anajipenda yaani,kwenye dress code awe vzr mpk kunukia!hata watu wakimuona ,yes!najivunia!
Hapo vipi?
 
Uko sahihi mzee ila hili linaendaga na level of confidence ya wanawake tofauti. Kuna ambao wako so confident hawa hawaitaji approval yeye akivaa vizuri akapendeza anaji feel freshi tu the only attention she needs ni toka kwa mwanaume anaevutiwa nae ila kuna wengine wana dress to impress!
Kabisa
Kwa anaenipenda ndio mhimu
Wengine watajiju
 
Mbona mi sina picha ya kubinua makalio?umekariri mkuu?

Kupendeza hivi jmn kunahusiana na attention?
Duh yaani siwezi asee lzm nipendeze tu kwakweli,kuniona na kunisifia mime/mpenzi wangu huyo ndo mhimu wengine sio issue
Duh basi balaa hili?
Mbona mi napenda mwanaume anaependeza,anajipenda yaani,kwenye dress code awe vzr mpk kunukia!hata watu wakimuona ,yes!najivunia!
Hapo vipi?
Coz unajielewa mupo wachache sana kama 10% tu
 
Back
Top Bottom