Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Trust me kila mwanamke husema hivyo karibia %yote ya wanawake hua hawavai nguo ajili yao. Either kuwatambia mashosti au ili kuwapagawisha wanawake.
Hebu nikuulize, unadhani ni kwanini wadada wanapiga picha wamebinua makalio, naaimini nawe unazo picha za hivyo. Unadhani wanaume hatujui kua mna makalio?? Kwanini wadada hufanya hivyo hasa?? Kwanini hupenda kuweka viungo vyao sensitive wazi unadhani wanafanya ajili yao??



Trust me mate all women are attention seeker ndio maana mara nyingi humjali yule mwanaume anayewapa muda wake.
Kuna wengine wanawake wakivaa nguo nzuri watu fulani wasipowaona basi wanajisikia vibaya. Ipo hivyo bibie

Haya ni mapya [emoji28][emoji28]

Kwa hiyo nikivaa kinguo changu kinachoniweka comfortable ni Kwa ajili ya mtu [emoji1787][emoji1787]
 
Inauma sana mtoto anapokuwa hakuelewi sema tunajikaza kiume tu! Yani kuna pigo ukifanyiwa unaona kabisa mtoto hajawaka na mimi ila kwa msela mwingine mtoto anaenda resi kinyama.

Full greenlight...
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii binafsi nimeona nilipokua chuo
Hostel wanawake walikua wanasema naringa nikabaki najiuliza kivp na salam huwa nawapa
Baada ya kuanza kunywa nao bia na kuwashika viuno wakaanza tena kumbe ww sio mtu mzuri 🤣🤣🤣
Hakuna mtu atakaye hitimu course ya kuwajua wanawake sababu wenyewe ni dynamic, wanabadilika kulingana na wakati pamoja na mazingira.
Lakini kuna kanuni zitabakia hadi milele ikiwemo hii iliyoelezewa na mtoa mada.
Wanawake ukiwapuuza ndivyo watakavyozidi kujilengesha kwenye macho yako ili wapate attention yako.
Manzi mkali ukimchukulia poa atafanya juu chini kukuonesha yeye ni wa tofauti atafanya kila awezalo ikiwemo kukulengeshea K ili kupata validation yako. Me cha kufanya muda wote ni kumuweka sehemu yake, hakikisha anajua kwamba yeye siyo priority kwako.
 
Uliza waillipfuata fuata inbox kusema wametuelewa wakasepa,nn kilifuata?
Hata sisi tunapiga kimya vzr sana tu!
Kila mmoja anaendekea na maisha take yaani
Mimi simo huko aisee, kwanza naogopa kweli kumfuata mtu pm.
Mbona mi sina picha ya kubinua makalio?umekariri mkuu?

Kupendeza hivi jmn kunahusiana na attention?
Duh yaani siwezi asee lzm nipendeze tu kwakweli,kuniona na kunisifia mime/mpenzi wangu huyo ndo mhimu wengine sio issue
Duh basi balaa hili?
Mbona mi napenda mwanaume anaependeza,anajipenda yaani,kwenye dress code awe vzr mpk kunukia!hata watu wakimuona ,yes!najivunia!
Hapo vipi?
Ndugu tembelea mitandao ya kijamii ujionee. Wewe ni hofu tu ya Mungu inakufanya usipige picha za namna hiyo
 
Hahah.

Mwanaume anatakiwa awe vipi ?

Hilo ni swali ambalo litakuwa na majibu tofauti sana na hatutopata kauli moja kwa sababu wanawake wanaathiriwa na mazingira tofauti tofauti.

Mtoto wa kike wa kizanzibari mindset yake ni tofauti na mtoto wa kike wa kikurya,kuna mambo lazima watakuwa hawafanani tu
We ndo utaleta complication sasa..!
 
Hakuna mtu atakaye hitimu course ya kuwajua wanawake sababu wenyewe ni dynamic, wanabadilika kulingana na wakati pamoja na mazingira.
Lakini kuna kanuni zitabakia hadi milele ikiwemo hii iliyoelezewa na mtoa mada.
Wanawake ukiwapuuza ndivyo watakavyozidi kujilengesha kwenye macho yako ili wapate attention yako.
Manzi mkali ukimchukulia poa atafanya juu chini kukuonesha yeye ni wa tofauti atafanya kila awezalo ikiwemo kukulengeshea K ili kupata validation yako. Me cha kufanya muda wote ni kumuweka sehemu yake, hakikisha anajua kwamba yeye siyo priority kwako.
That's it, huo ndio ukweli mate.
Cha msingi ni ku Analyse their common patterns na kuzifanyia kazi. Humu wanajifanya wabishi tu nawachora tu coz hata one of the beautiful and smartest woman I know aliwahi kuniambia kitu hiki nilichoeleza. and she's a quite a woman not pisikali au binti
 
That's it, huo ndio ukweli mate.
Cha msingi ni ku Analyse their common patterns na kuzifanyia kazi. Humu wanajifanya wabishi tu nawachora tu coz hata one of the beautiful and smartest woman I know aliwahi kuniambia kitu hiki nilichoeleza. and she's a quite a woman not pisikali au binti
Ni watu wa madrama, wanaficha uhalisia wao kwa kutumia drama.
Ni kama wana mental software ya kuziua ukweli.
Ukitaka kujua nature yao wajifunze hao hao hasa wasichana wenye miaka 17-22, wapo easy kufichua nature yao.
 
Eid Mubarak y’all…

Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote amabo andiko hili litaSound vibaya kwenu.

I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.

Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti,umbo,anavyotembea,macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.

Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume…..Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression………Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.

kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?

Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.

Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery.
Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.

Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata. Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno……ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.

Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.

Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.

View attachment 2210022
[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja😉😉]

Vinci…
Kuna wanawake wengine yaani hata kuwaangalia tu ni shida......utakuta wamejichubua, wananuka makwapa na midomo chupi ndiyo kabisaaa. Utakuyta mtu kama huyu anajipitisha kwako kutaka atongonzwe for what? Si kila mwanamme anataka mwanamke wa aina hii.
 
Kuna wanawake wengine yaani hata kuwaangalia tu ni shida......utakuta wamejichubua, wananuka makwapa na midomo chupi ndiyo kabisaaa. Utakuyta mtu kama huyu anajipitisha kwako kutaka atongonzwe for what? Si kila mwanamme anataka mwanamke wa aina hii.
Jamaa Mbona unawaongelea mbovu wanawake zetu hawa. Have a bit of respct
 
Jamaa Mbona unawaongelea mbovu wanawake zetu hawa. Have a bit of respct
No way, utakuta demu hana hata sura nzuri, ana kijitako basi yeye anaona lile tako ndiyo mali.....atapita mtaani akijitikisa na kujifanya anaongea kwa sauti kubwa ili watu wamuone tu. Mtu anashindwa kujiuliza kwanini jamaa hawanishitukii, kwa kweli wanawake wanaojichubua, wanaonuka harufu ya uozo mwilini, harufu ya mdomo kunuka kama mavi, wanawake wenye ndevu kwa ajili ya kujichubua, kwangu hawana mvuto hata kidogo na wakinisalimia siwasalimu back, I have no time for them.
 
Naona mnanipiga mwingi hadi naanza kuwaza uzi ufutwe[emoji20]





Hornet wewe unaona haupo hivyo ajili ya umri. Umri na majukumu ndio unaona hayo mambo hayana nafasi. Ila wanawake wote wanautoto ndani yao.
Anayemfaidi mwanamke ni yule anaye Entertain utoto wa mwanamke
Ww bwana mbn wengine hatuna majukumu na hatufanyi huo utoto kwa wanauame wote!Nadhan mtu anayetoka home na kujipamba ili kupata attention ya mwanaume basi she find source of income.
Otherwise utoto na kuseek attention kutafanyika kwa mpenzi wako .
 
Ww bwana mbn wengine hatuna majukumu na hatufanyi huo utoto kwa wanauame wote!Nadhan mtu anayetoka home na kujipamba ili kupata attention ya mwanaume basi she find source of income.
Otherwise utoto na kuseek attention kutafanyika kwa mpenzi wako .
Joline utoto naouzungumzia kwenye hiyo comment sio wakujiremba. Unaelewa nini naposema "Watu hua tunakua miili na Experience tu ila ndani yetu bado hua tupo vilevile sawa"?? I wish to know you so I could prove you wrong. Can you let me?
 
Daah mleta uzi nakubali 100%, Kuna vitu nlikuw cjapata majibu kuwahusu wanawake ila nimevipata Sasa,

man uliyoyaandika tunayashuhudia Sana kitaa ukiwa mkimya wanakujadil eti upo siriaz Sana afu unakuta kila mmoja kwenye kundi lao anajileta anazungumza wakivokujadili japo kwa namna yake [emoji28][emoji28] na unawapelekea moto karbu wte,

Pia hii kutaka attention wakipendeza ukawapotezea wanakosa Sana amani n wanajiuliza maswali kukuhusu wanajikuta wamejileta wenyew

Mkuu endelea kutupatia nondo kuhusu Hawa viumbe
 
Nimesoma maoni yenu nimegundua kua wanaume wote wanajua kua mpo hivyo kama nilivyoeleza kwenye mada na wengine wametoa simulizi za mambo waliyokutana nayo kuthibitisha Ukweli wa mada yangu ila wanawake karibu wote wamenipinga.

Wala hata haijanishanga maana kwenye psychology kuna Kitu napenda kukiita Mind illusion projection, Kwamba kuna mambo fulani tunakua nayo either kwenyye miili yetu au Mazingira ila Ubongo wetu unatudanganya kua jambo hilo halipo.

Mfano.
Ukiwa unaangalia kawaida huwezi kuliona pua mpaka utulie uangalie kwa umakini au kufumba jicho moja ndio utaliona pua. Kwanini? Macho yanaliona pua ila Mind yako inalipuuza (ignoring) pua lako ili lisikuzibe kuona mbele yako.. hii inasaidia watu wenye mapua makubwa tuone vizuri, Kwa umbali uliopo Kati ya pua na Macho na pua lilivyokaa basi tusingeweza kuona mbele.

Pua linaonekana hasa ncha yake, ila kidevu hakionekani kwa sababu macho yanaona kwa nyuzi 120°. Macho na kidevu yapo kwenye nyuzi sawa 0° ndio maana hayawezi kuona kidevu. Angalia macho yako na kidevu kama havipo usawa mmoja. So akili hupuuza tu kuliona pua lako na sio kwamba halionekani na macho.

Same applies to Women, wanawake wote wanapinga jambo nililoeleza hapa kwakua wao ndio watendaji na Ubongo wao maybe umeIgnore hicho kitendo na kuona kwamba ni jambo la kawaida na hawafanyi kwa ajili yetu. Na sisi wanaume tunaowaona ndio tunajua kwamba ni kweli wanafanya ajili yetu ndio maana kuna shuhuda nyingi toka kwa wanaume.

Ni kama vile tabia zako huwezi kujua kama una tabia mbaya hasa wale wanaokuona ndio wanajua tabia zako vizuri.

So nahitimisha kusema kwamba hili swala lipo ila ni wanaume ndio tunaliona hasa kwa wanawake ila wao wanaona si kweli hawafanyi ajili yetu kwakua Ubongo wao upo Coded wasione hilo jambo.
Alpha males food

Labda ndo walivyoumbwa.

Mkuu sikuwahi kuwaza hii hali kitaalamu inaitwaje ?


Uzi mzuri,
Tatizo umeanzisha mada ndani ya mada

Ndio. Wengi wanapenda kua hivyo

Teh teh teh teh nimecheka sana.

Sawa kabisa. Na wanapenda kusifiwa. Akivaa vizuri usipomsifia inakuwa kesi!

Aisee🤔

Uliyoyaandika hayana uhalisia kwangu!


Si naiachia Plan B yangu 😊😊😊

LIFE IS SIMPLE

Ngoja waje kutoa shuhuda zao...

Da'vinc
I miss your former avatar

Kaangalie documentary za sex life of lions au soma article kama hz

.

So anzeni kujadili sifa za mwanaume ambae ni mwanaume Kama hazijui.

Maybe anauwingi wa testosterone ktk mwili wake!.

Wengine watajiju

Ni kweli hujakosea

Nimeshangaa mpaka basi[emoji28]
 
Joline utoto naouzungumzia kwenye hiyo comment sio wakujiremba. Unaelewa nini naposema "Watu hua tunakua miili na Experience tu ila ndani yetu bado hua tupo vilevile sawa"?? I wish to know you so I could prove you wrong. Can you let me?
What do you want to know about me!?[emoji1745]
 
Huu uzi ni ukweli 100%.
Kuna workshop fulani niliwahi kufanya kazi, sehemu ambayo watu walitembeza vitu mbalimbali kuuza. Kuna manzi moja kama 22yrs alikuwa anauza juisi mida ya mchana kila siku.
Yule manzi alikuwa mzuri wa sura, umbo, sauti, na kila siku alipendeza tofauti, mtu muongeaji na wa kujichanganya na watu. Kwa kuwa pale workshop wafanyakazi wengi tulikuwa wanaume tena bachelors, wanawake walivalia namna ambavyo waliamini watateka attention ya wanaume ili kurahisisha biashara na udangaji.
Ikawa kila yule manzi muuza juisi anapofika masela wanachanganyikiwa balaa, wataanza kumwita kwa jina, kila mmoja anataka kuwa wa kwanza kuhudumiwa juisi, mwingine hata change hadai, kila mtu anataka amsemeshe yaani shobo mwanzo mwisho.

Lakini Mimi nilimuona wa kawaida tu, wala sikuwahi kupata hamu ya kununua juisi yake. Baada ya muda alishtuka watu wote pale workshop walishawahi kununua juisi kwake na kumshobokea isipokuwa Mimi tu(wengine hawakugundua).
Mara siku moja baada ya kuuzia wengine akaja sehemu nilipokuwa;
Yeye: Kaka mambo?
Mimi: Shwari,
Yeye: juisi?
Mimi: Asante.
Ikawa kila siku lazima ajipitishe mbele yangu kunisalimia na kuuliza kama nahitaji juisi lakini tofauti na salamu pamoja na asante ya kukataaa juisi sikuwa na story ya pili na yeye. Kilichomvuruga zaidi mara kibao amewahi kunikuta na wanawake wengine. Ilifika mahali akimaliza kuuza juisi anakaa sehemu ya mbali kidogo ananipiga chabo halafu kama ana mawazo.

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, ukiwaheshimu wanakudharau na ukiwadharau wanakuheshimu. Hata mkeo ukimuona kama celebrity yeye atakuona kama shabiki. Kanuni ni kuwachokonoa self esteem. Bila kubabaishwa na kiwango chake cha uzuri, mchukulie kama vile .......... Then utaona response yake kwako.

kabisa
 
Back
Top Bottom