Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Tupe mrejesho mkuu kama ulikakula
Sikukala, kakiniletea maringo nikakapotezea, kila nikikatongoza hakasemi kama kamwaka mpya kakanitext Neno happy new year sijasijajibu, siku mbili baadae kanipigia nikawa nakajibu short short tu,

anachonikera ni kwamba nilipanga nae appointment ya kukazia mtongozo, hakapokei simu wala hakajibu msg, na wakati huo nishapoteza muda wangu kusafiri mpaka eneo la tukio.
 
Pole sana huo ndio uanaume. Unakutana na vitu kama hivi
 
😍😍
 
Chai ya motoo
 
Kuna demu mmoja nilikutana nae kwenye daladala alikuwa ni Black beauty, mwembamba, mrefu kidogo, kwakweli kisura hakuwa mzuri kivile lakini alikuwa akicheka ndio uzuri wake unauona, sasa yule demu nahisi mwenyewe keshajijua ili aonekane pisi ni lazima avenue, basi kwa kweli ndani ya gari hatukuwa na raha maana alikuwa anafanya kila njia apate cha kucheka, alikuwa anacheka muda wore na mimi nilikuwa nimekaa nae karibu nilikuwa namuinjoy anavyofurahia kujichekesha ili uzuri wake uonekane, yaani mpaka ameshuka daladala bado anacheka tu kama anatangaza colgate
 
NAKAZIA
 
Well said [emoji106]
 
mkuu Malchiah ninachojifunza hapa hata ukikata mawasiliano na mwanamke ni sehemu pia ya kumyima attention na huwa inamuuma kitendo cha kutoendelea kuwasiliana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…