Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakazia kwamba kujiremba kwa mwanamke si lazima amvutie mwanaume bali kujiweka smart tu wewe mwenyewe tho kwa wengine inaweza kuapply tofauti
Mbona hamjirembi wakati mnaenda kulala ndani usiku ?

Au hamtaki kujiweka smart hata nyakati za usiku 😀.

Wanawake they all need attention from Us,that's the bitter truth.
 
Kwakweli mahusiano yangu yoote yanakufa sababu ya kukosa attention ya mwanaume, daily unalalamika mtu hakuzingatii..unaamua kuacha tuu labda mapenzi si ya kila mtu.
NI ajabu sana mtu anajiona yuko sahh eti mimi hata niwe kimya ila ujue nakupenda..sasa unajiuliza kuna upendo bila ukaribu.
 
Duuh
 
Truth 200% D'Vince True 100% Da'Vinci
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…