Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Mkuu kwanini unataka umkamate mwanamke?Okay sasa mkuu unadhani ili kumkamata mwanamke unatakiwa umpe authority juu yako au unatakiwa umnyime authority juu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanini unataka umkamate mwanamke?Okay sasa mkuu unadhani ili kumkamata mwanamke unatakiwa umpe authority juu yako au unatakiwa umnyime authority juu yako?
Maneno kuntu kutoka kwa kitombi mzoefu.View attachment 2337175
Eid Mubarak y’all…
Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu.
Hapo kwenye udecency ndo unavyowatafuna kimasihara balaa🤣🤣🤣Hahaha mkuu mimi sio muhuni hata kidogo. I'm such a decent guy, it's just I drink and I know things 😅
KweliInauma sana mtoto anapokuwa hakuelewi sema tunajikaza kiume tu! Yani kuna pigo ukifanyiwa unaona kabisa mtoto hajawaka na mimi ila kwa msela mwingine mtoto anaenda resi kinyama.
Full greenlight...
Hakuna sehemu nimesema nataka kumkamata mwanamke mkuu..Mkuu kwanini unataka umkamate mwanamke?
Aliyejitahidi kuisoma yote atufanyie ufupisho kwa sentensi mojaView attachment 2337175
Eid Mubarak y’all…
Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu.
I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.
Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti, umbo anavyotembea, macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.
Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume. Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression.
Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.
kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?
View attachment 2337174
Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.
Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery. Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.
Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata.
Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno. Ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.
Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.
Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.
[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja[emoji6][emoji6]]
View attachment 2279344
[Naombeni radhi nyote mliyochukizwa na mada hii, halikua kusudia langu kuwachukiza]
Vinci…
Nikwamba mwwnamke ili umuweze yaani akushobokee basi wewe usioneshe kama unamuona mzuri kiviiiiileee,yaani jifanye unamiona wa kawaida tu.Aliyejitahidi kuisoma yote atufanyie ufupisho kwa sentensi moja

Vipi mkuu, uliipiga hiyo "punani manyana"😆😆😆, au umeiacha ikuangalie mpaka imechoka, imempa baharia mwingine?Hapa kitaa kna manzi jirani ( nilivohamia hya mazingira alikuw kasafir ko amerud kanikuta japo yeye ni mwenyeji), ni mzur afu anajikubali san mwanzo hta salamu alikuw anakausha sasa namm nkamkaushia,
naanza kuona sahv anafosi mazoea hiv afu muda mwing Kam ananiangalia kwa kujiiba hiv afu m najikuta Kam sielew lolote hivi
Ngoja niendelee kuusoma mchezo man dalili naziona afu nachekea tumboni [emoji23][emoji23] hawa wazur ukiwazingatia Sana wanakudharau.
Uko sahihi mzee ila hili linaendaga na level of confidence ya wanawake tofauti. Kuna ambao wako so confident hawa hawaitaji approval yeye akivaa vizuri akapendeza anaji feel freshi tu the only attention she needs ni toka kwa mwanaume anaevutiwa nae ila kuna wengine wana dress to impress!
Maan not all of them trust me. Kuna wanawake hawana taste na fashion wao huvaa tu. Ukimsifia sawa ila usipomsifia pia its not a big dealNo ,dont get deceived na hawa watu,hakuna mwanamke anayevaa ku impress,na kama wapo basi ni kuimpress wanaume.
Imagine ingekuwa vipi wanawake wawe peke yao duniani,unadhani hizo fasheni na kujiremba wangejiremba ili nani awasifie.??
Maan not all of them trust me. Kuna wanawake hawana taste na fashion wao huvaa tu. Ukimsifia sawa ila usipomsifia pia its not a big deal
mimi nadhani hizi sifa ama baadhi ya mambo wanawake wanakuwa nayo kutokana na background ya malezi waliyokulia wenyeweHao wapo ndio nakubali ila hio inaweza kusababishwa na some life experiences kama hardship na vitu zingine,ila at her relexing mode akiwa hana stress ,mkuu lazima atapata hisia hizo coz its something wanapenda,women waanapenda sana attentions .
Na ukimpa attention anakuona buzi jinga fala unajikomba bwege. Kinachofuata matusi ya nguoni dharau na kuigawa kama njugu!View attachment 2337175
Eid Mubarak y’all…
Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu.
I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of expertise, but I will try to address this matter accordingly byto explaining the obvious-superbly.
Well, on default mode kichwani mwa mwanamke anaelewa kwamba yeye ndio center of attention and attraction kwa mwanaume, yaani hakuna anayeweza kumpagawisha mwanaume zaidi ya yeye mwanamke. Kwakulitambua kila mwanamke hutazama ni kitu gani hasa kajaliwa mwilini mwake ambacho anadhani kinaweza kuvuta attention ya mwanaume yoyote kama vile sauti, umbo anavyotembea, macho, tako, nyonyo, mapaja, nk akishaona kipi hasa kapendelewa basi atanza kukifanyia madoido na maonyesho ili wanaume wampe attention. Mfano, kama ana tako na shepu basi ataanza kuvaa nguo zinazochora na kuonyesha umbo lake vyema,kama ni macho mazuri basi ndio kila mda atakuangalia kwa kukurembulia au kuyatoa yawe makubwa kama mpira wa pooltable, kama ni nyonyo basi atavaa nguo zinazoonysha nyonyo vyema same applied to miguu ya bia,mapaja, kiuno nk nk.
Kwa sababu hiyo hapo juu ndio maana wenzetu hawa hutumia muda mwingi na ghalama kubwa kujipamba na kuiremba ili tu kuweza kukamata attention ya mwanaume. Sasa ikitokea mwanamke katumia muda na ghalama zake kujiremba halafu akatembea umbali maybe wa saa nzima kwenda na kurudi halafu ikatokea hakuna mwanaume yoyote hata anayegeuka kumtazama, kumpigia mluzi, kumuita au kufanya kitu chochote ambacho mwanaume ataonekana kawa attracted na huyo mwanamke basi Psychologically atakua Disturbed na akirudi nyumbani lazima ajichunguze wapi kakosea au ana kasoro gani hasa kwanini ‘kavunja kabati’ halafu nobody noticed her in any form of expression.
Anakua psychologically disturbed kisa tu no one noticed like a smoke in a the dark because kama nlivyosema wanawake wote duniani wanaelewa wao ndio center of attention and attraction kwa wanaume so ikiwa hatapata attention aliyodhania kwamba anayo na lazima aipate kutoka kwa mwanaume lazima imuume na kumtesa kiakili.
kwanini watu Hardcore Guys/ wasiojali wala kushobokea wanawake na watu wakimya ndio wanaongoza kwa kuwala/kuWin mioyo ya wanawake wengi zaidi?
View attachment 2337174
Kama nilivyoeleza huko juuu mwanamke siku zote hufunya kila kitu kuwinda attention ya mwanaume yaani aonekane kwamba Fulani Yule pale anapita na apate confirmination feedback kwamba wamemuona. Mwanaume ukiwa haushobokei mwanamke yaani labda mwanamke Fulani kwenye group lenu labda darasani,mtaani,ofisini nk akiwa anajiona yeye ni mrembo/pisi kali wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu , lazima mwanamke huyo ajiulize kwanini wewe humshobokei na itamtesa kwa kweli akilini mwake. Ataanza kutafuta njia na sababu yoyote kua karibu nawe ili tu ajue “what special about you” mpaka hujali kuhusu yeye.
Sasa katika kutafuta attention hiyo kwako mwisho wa siku anajikuta Tunda liinaliwa mockery. Same applied to Quite Guy, wanaume wakimya kwasababu hawana muda wa kupiga stori na wadada wao wanajai mambo yao tu yaliyowapeleka sehemu hiyo. Wanawake wakiona mtu huyo yupo tu na mambo yake yeye ni salam basi hana stori nao basi lazima waanze kutaka kujua what special about the guy hadi anakua hana stori nao. Watatumia njia yoyote hata kwa kukuletea chakula, vizawadi, hata kukuongelesha ongelesha ilimradi tu uwape attention yako. Katika kufanya hivyo ndio wanajikuta pia tunda limeliwa Mockery.
Unajua On universal law mwanaume anakua defined mbele ya jamii kwamba yeye ni nani kwa matendo yake na si maneno, ila kwa wenzetu hawa Mwanaume anakua defined kwa Maneno na Expression yake. Yaani anaongea nini na ana haiba gani, mwanamke anataka apate attention ya mwanaume kwa kuambiwa maneno mazuri mazuri kutegemea na jinsi alivyoumbika, pia anategemea mwanaume atampa attention kwa kumfuata-fuata.
Wanawake wana tabia moja naiita "Show and Tell", kwamba wakiwa kwenye maongezi yao wanapenda kumchambua mwanaume mmoja mmoja, kama nilivyosema wanawake wanapenda zaidi maneno. Ikitokea mwanamke akamuongelea mwanaume Fulani maneno mazuri basi hao wengine wote wote wataanza kuvutiwa na mwanaume huyo. Utakua unapita mtaani tu unaona wanaku-Admire na kukuchekea kumbe File lako washalipata.
Wakimsema mwanaume Fulani ni mkimya au anajisikia sana basi wengine wote wataanza kumfuatilia mwanaume huyo wajue kwanini anajisikia sana, Deepdown sio kwamba mwanaume anakua hajiioni bali ni kwamba He doesn’t give a fvck about them-chicks , he’s just minding his own business . hiyo inawaumiza kweli kichwa wanawake and bumming them out.
Mwanamke akikosa attention ya mwanaume anachanganyikiwa na akianza kuwinda attention ya mwanaume atatumia kila mbinu anayoijua kuipata. Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.
[NB: Kocha hutoa maelekezo akiwa nje ya Uwanja😉😉]
View attachment 2279344
[Naombeni radhi nyote mliyochukizwa na mada hii, halikua kusudia langu kuwachukiza]
Vinci…
Yaliwahi kunikuta hayo sina hamu daah. Mwanamke kaa nae kibabe, yaani fanya kama humkubali ila unamkubali...Usimuonyeshe kua yeye ndio kila kitu kwakoNa ukimpa attention anakuona buzi jinga fala unajikomba bwege. Kinachofuata matusi ya nguoni dharau na kuigawa kama njugu!
Ndugu hawana formula hao. Kalagabaho.....