Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Katika umri nilionao, nimejifunza kitu, tujifunze kukubaliana na hali, ukiona unakataliwa mkuu, piga chini dunia ina Siri hii
Kuna dada nilimsikia na sema ana tatizo kila AKILALA na mwanaume, huyo mwanaume anakufa.Unaweza kujikuta unabeba roho chafu zitakazokutesa maisha yako yote
Shida tumeaminishwa, mwanamke akisema hapana huenda anakupima kama unampenda kweli sasa kujua huyu ananipima huyu kadhamiria, shida hizoKuielewa hapana ya mwanamke ilichomaanisha ni Ngumu sana, Unaweza kuiandikia thesis mia Moja na literature review 1000 na bado ukashindwa kuielewa. Broo.🤣🤣🤣
Kikubwa akili (kama unazo)ishinde hisia.
Bro Leo weekend, au we unaenda kazini? Chekecha akili bro, usiwe mtumwa, shida elimu zetu za sasa shida tupu,Yan asubuhi yote hii mnawaza kutongozana, mnaishi kwa shemej zenu mnaraha sana
Sawa kaka, respect🙏Wikiend ni siku ya kujadil mirad na maendeleo ya biashara, toka kwa shemej
Sawa kaka, respectWikiend ni siku ya kujadil mirad na maendeleo ya biashara, toka kwa shemej
ni kweliKatika umri nilionao, nimejifunza kitu, tujifunze kukubaliana na hali, ukiona unakataliwa mkuu, piga chini dunia ina Siri hii
Kuielewa hapana ya mwanamke ilichomaanisha ni Ngumu sana, Unaweza kuiandikia thesis mia Moja na literature review 1000 na bado ukashindwa kuielewa. Broo.
hawa wapo sana tu, kuna mmoja ni mzuri anavutia ila kila anayemuoa hufa kwa ajali!Kuna dada nilimsikia na sema ana tatizo kila AKILALA na mwanaume, huyo mwanaume anakufa.
anaona akisema ndiyo ataonekana ni mrahisi, ni malaya, kumbe ni sitaki natakaWengine hapana yao inamaaanisha ndiyo.
Siku tukikosa akili ndo mtajuta!yule alisema wanawake hatueleweki hajakosea mfano mimi tu nishashindwa kujielewa,, kuna mda ni yes kuna mda ni no kuna mda nasusa kuna mda nakua na wivu kuna mda nakua na furaha mda mwingine najiskia kulia bila sababu tu nk nk yan ni taflani 😄😄,, endeleeni tu kuishi na sisi kwa akili kama mlivyo agizwa