Mwanamke akikuambia hapana, kuwa muelewa, wengine wameathirika, wengine akilala na wewe unakufa

Mwanamke akikuambia hapana, kuwa muelewa, wengine wameathirika, wengine akilala na wewe unakufa

yule alisema wanawake hatueleweki hajakosea mfano mimi tu nishashindwa kujielewa,, kuna mda ni yes kuna mda ni no kuna mda nasusa kuna mda nakua na wivu kuna mda nakua na furaha mda mwingine najiskia kulia bila sababu tu nk nk yan ni taflani 😄😄,, endeleeni tu kuishi na sisi kwa akili kama mlivyo agizwa
Hata yule mama kilemba nae yupo hivyo hivyo kama wewe!!!

Cha ajabu kapewa nchi aongoze, can you imagine matokeo yake?
 
yule alisema wanawake hatueleweki hajakosea mfano mimi tu nishashindwa kujielewa,, kuna mda ni yes kuna mda ni no kuna mda nasusa kuna mda nakua na wivu kuna mda nakua na furaha mda mwingine najiskia kulia bila sababu tu nk nk yan ni taflani endeleeni tu kuishi na sisi kwa akili kama mlivyo agizwa
Huwa nawambia humu

"ukiona kuwa umejua au umetambua anachokitaka mwanamke au ambacho hataki, basi andika wosia mapema, unakaribia kufa
 
Kuna hii unamtongoza mwanamke ana kukataa, una amua kupiga mishe zako town, badae anakufata eti amekukubali alafu hapo new usha vuta pisi nyingine shida tupu
 
Tusitishane bana, kama amewaka tutabadilishana na vyangu.... kama ni kudanja hata nzi anafiaga kwenye kidonda....🤣
20260523_104845.jpg
 
Nilimtongoza tukaenda vizuri nikamuita kwangu akaja akakataa kutoa nguo wakati chumbani kaingia vizuri bila shida. Huwa silazimishi ila natimua hapo hapo asije nisingizia nimelazimisha.

Nikaendelea nae siku nyingine nikamuita akaja vile vile ila akaogopa kukataa sijui, maana ningemtimua tena. Nikamvua nakumbuka alisema "lakini mimi nina shida" sasa hapo akili imehama tiyari sikutafakari.

Uzuri akili ilifanya rejea baada ya kumaliza, na kizuri kingine hakuwa mtamu hata nilijua usumbufu na kuzungushwa. Ila huo mwezi niliishi kama digidigi.
 
Kwanza kule Zanzibar niliskia Kuna wake wa majini, ukilala naye inakula kwako.
Akisema hapana, achana naye.
 
Si kila 'hapana' ya mwanamke ni kweli hapana.
Wengine wanadeka, nenda naye mdogo mdogo mpaka upewe kopo la asali ulambe
 
Ulimsikia wapi bhana, ww sema tuu mlikuwa kwenye kijiwe mkaona muanze kupiga story ilimradi jua litue
Kaka ANGU jichanganye uraiani usishinde OFSINI tu, jamii ina matatizo ACHA TU, mshukuru MUNGU, nenda Kwa masheikh wakwambie matatizo ya wanayo pelekewa na waja, wakitafuta TIBA, utalia
 
Back
Top Bottom