Mwanamke akikuambia hapana, kuwa muelewa, wengine wameathirika, wengine akilala na wewe unakufa

Kuielewa hapana ya mwanamke ilichomaanisha ni Ngumu sana, Unaweza kuiandikia thesis mia Moja na literature review 1000 na bado ukashindwa kuielewa. Broo.🀣🀣🀣

Kikubwa akili (kama unazo)ishinde hisia.
Shida tumeaminishwa, mwanamke akisema hapana huenda anakupima kama unampenda kweli sasa kujua huyu ananipima huyu kadhamiria, shida hizo
 
🀣🀣🀣 wanawake hawasemi ndiyo au nimekubali, jibu lao kubwa hapana. Sasa ukiforce lolote linatokea ila mara nyingi hutokea mazuri. Kama ukimfuata nyuki tu, unaweza kula asali au ukaambulia manundu. Ajali kazini
 
yule alisema wanawake hatueleweki hajakosea mfano mimi tu nishashindwa kujielewa,, kuna mda ni yes kuna mda ni no kuna mda nasusa kuna mda nakua na wivu kuna mda nakua na furaha mda mwingine najiskia kulia bila sababu tu nk nk yan ni taflani πŸ˜„πŸ˜„,, endeleeni tu kuishi na sisi kwa akili kama mlivyo agizwa
 
Siku tukikosa akili ndo mtajuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…