Besti wewe mchezo hutaki?
Laki moja kusuka unafanyiwa na operation ya kichwa au
Operesheni ya kichwa siyo bei ndogo hivyo mkuu....
Umenichekesha sana.
C utafute za kwako kwanini uwe kupe?
Miss chagga umenistua ka kweli vile, yaani wewe ungekua demu wangu nishakumwaga zamani. Kiukweli mimi mizinga yoyote inayoanzia digits sita, hesabia umenipoteza.
Duh kwa kweli sisi wanawake tumezidi mizinga ila kama mwanaume anakupenda kweli ni jukumu lake kukusaidia ila uwe mkweli na uweze kufaidi mengi kutoka kwake
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?
Mabosi wenu!!!
Yani wewe demu wako ana sheeedaaa au huna dem kabisaa.