Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Miss chagga umenistua ka kweli vile, yaani wewe ungekua demu wangu nishakumwaga zamani. Kiukweli mimi mizinga yoyote inayoanzia digits sita, hesabia umenipoteza.

Ha ha ha ha uwezi bwanA basi naomba digit 4 mara tano
 
Duh kwa kweli sisi wanawake tumezidi mizinga ila kama mwanaume anakupenda kweli ni jukumu lake kukusaidia ila uwe mkweli na uweze kufaidi mengi kutoka kwake

Waambie wanawake wake wenzio wamezidi kulia njaa, wanajishusha sana kujigeuza omba omba.
 
Pamoja na madesa yooote mnayopeana......cha ajabu hamuachi kutoa! Acha mizinga ikomae,
 
Wadada NA sisi tukipigiwa simu wakisema "baby nina hamu" mjibu msimbaz wanacheza hata Kama siku hiyo ni zamu ya Azam.
 
Dah hii Mchunguzi Huru nimeipenda! Wenyewe wanaiita "kung'oa jino"! Utasikia leo nimepigika, bila kumng'oa jino beib siku haiendi. Hii uliyoiweka ni kung'oa jino kwa ganzi (yaani wanapindishapindisha). Wakomavu wanang'oa bila ganzi, anakuvaa tu na kukueleza "nahitaji kwenda kusuka" au "..."
 
We kama umeamua kuwa kwenye fani ya madem liwa tu hela zako na kina dada acha ujanja ujanja usitake vya bure wenzako wanagharimika kujitunza mpaka wapendeze uwaone utongoze.

Ni sawa kuamua kunywa bia halafu kila siku unataka za bure kujifanya unakwepa gharama, unajidhalilisha. STAREHE GHARAMA VIJANA. Otherwise usiwachokoze kabisa!
 
Yani wewe demu wako ana sheeedaaa au huna dem kabisaa.
 
Mkuu uliyo andika ni mbinu zao za zamani sana kaka!Siku hizi wala hawapigi mizinga kwa kutumia SMS bali anakupigia!!

Ukipokea tu simu anaanza kulia kwa sauti mno ukimuuliza tu why unalia basi umeisha ingia kwenye 18 zake ehehehe!

Hawa watu ni wabunifu bana asikuambia mtu
 
Back
Top Bottom