Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
baba zenu.....
Bora umekuja.Naomba hela????.....lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba zenu.....
Unanikumbusha kipindi cha nyuma kidogo, mdada mmoja alitaka nimkopeshe hela km laki tatu, yeye alikua na laki 2 kuna kazi ya laki tano alitaka kuifanya baada ya mwezi, basi nkamwambia haina shida ntakupa, ila shart langu ni moja, nitumie hiyo laki mbili ulonayo then ntakutumia laki tano yote muda wa hiyo kazi ukifika. Hahaaaaa.....alianza kiswahili mara ooh sijui.......sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......
Mabosi wenu!!!
Hahaaaa...inabidi uwajue hawa wapenda maendeleo ili usipate hasara.ha ha ha nikubuloku ukijibu hivyo
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
hahahaha....unajua tatizo limekuja pale tu mnapotafuta usawa
sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......
Mie sinaga usawa bwana.Naomba laki moja niende kwenye harusi ya shost yangu.......lol[/QUOT
PM nikutumie....:A S wink: mimi sijasema. nilikua nachangia tu
ha haha ha alitaka kufanya uhuni mimi huwa sikopi naombaUnanikumbusha kipindi cha nyuma kidogo, mdada mmoja alitaka nimkopeshe hela km laki tatu, yeye alikua na laki 2 kuna kazi ya laki tano alitaka kuifanya baada ya mwezi, basi nkamwambia haina shida ntakupa, ila shart langu ni moja, nitumie hiyo laki mbili ulonayo then ntakutumia laki tano yote muda wa hiyo kazi ukifika. Hahaaaaa.....alianza kiswahili mara ooh sijui.......
miss chagga upo makini sana teh teh...
Hahaaaa...inabidi uwajue hawa wapenda maendeleo ili usipate hasara.
Kumbe hakuwa na hela wala hakua na mpango wa kazi ya laki tano. Alitumia mbinu ili nimpe then iwe kwaherii...nyinyi mna maambo sana.ha haha ha alitaka kufanya uhuni mimi huwa sikopi naomba
Kumbe hakuwa na hela wala hakua na mpango wa kazi ya laki tano. Alitumia mbinu ili nimpe then iwe kwaherii...nyinyi mna maambo sana.
Je! utatengeneza link kati ya kunipa nonihinoo na mimi kukunyima kahelaaa...huwa sipigi mizinga ya uongo nakwambia tu ukweli nataka laki moja nikanunue nguo au nikasuke au nikakae bar we uamue kunipa au lah
Je! utatengeneza link kati ya kunipa nonihinoo na mimi kukunyima kahelaaa...