Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

du, kwa kweli hawa michepuko wamezidi mizinga, wamefulia!
 
Unanikumbusha kipindi cha nyuma kidogo, mdada mmoja alitaka nimkopeshe hela km laki tatu, yeye alikua na laki 2 kuna kazi ya laki tano alitaka kuifanya baada ya mwezi, basi nkamwambia haina shida ntakupa, ila shart langu ni moja, nitumie hiyo laki mbili ulonayo then ntakutumia laki tano yote muda wa hiyo kazi ukifika. Hahaaaaa.....alianza kiswahili mara ooh sijui.......

hahaha! nami umenikumbusha---kuna mchepuko wangu mmoja uliwahi kutaka kunipiga mzinga kwa staili kama hii nikaushtukia mapema
 
Kumbe hakuwa na hela wala hakua na mpango wa kazi ya laki tano. Alitumia mbinu ili nimpe then iwe kwaherii...nyinyi mna maambo sana.
dikembe mi nna shida na laki tatu naihitaji mwezi wa kumi ila nna laki moja....nikutumie hiyo laki moja mwezi wa kumi unitumie laki tatu?
 
Last edited by a moderator:
Unanikumbusha kipindi cha nyuma kidogo, mdada mmoja alitaka nimkopeshe hela km laki tatu, yeye alikua na laki 2 kuna kazi ya laki tano alitaka kuifanya baada ya mwezi, basi nkamwambia haina shida ntakupa, ila shart langu ni moja, nitumie hiyo laki mbili ulonayo then ntakutumia laki tano yote muda wa hiyo kazi ukifika. Hahaaaaa.....alianza kiswahili mara ooh sijui.......

hahahaa hii safi sana nmeipenda!
 
tabibumtaratibu em cam zis wei nikuombe hela mie we ndo unafaa mwanaume kutunza banah sio kuwa na mkono wa birika sa usipomhudumia mpenzio nani amhudumie?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom