mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Nilikuwa sina sehemu maalum yakupata pesa
Umejibu vyema.:thumbup::thumbup:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sina sehemu maalum yakupata pesa
dawa ni kuachana na umalaya basi...unakuwa unakwepa mizinga at the same time unajiepusha na maradhi
Mkuu uko right ongeza na hii ya "ahadi ni deni"
Kuna baadhi ya kinadada pia baada ya kuongea na kuchat kama muda hivi, from no where unaeza pigwa deni la AHadi ambayo hata hujui uliihadi lini. Utastaajabu pale itakapo ambiwa" honey mbona ahadi yangu ya simu siioni" kazi itakuwa ni kwako hapo sasa sijui hio ahadi utaitoaje.. Ndo unadaiwa simu - ambayo hujui hata ni lini uliiahidi.. Pia bila kusahau simu inayotakiwa hapo ni smartphone,.
Mwisho'
Asante bro kwa kutuweka attention .. Kwani kuna watu saa hii wanajijitia bajeti zimeharibika
Sahihi kabisa......mizinga bila kutoka jasho.
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?
HahAha afu wee mchunguzi na chunguzi zako hizo...tunaharibiana bana!!!!!
kwanza me mpenzi wangu asiponiomba hela naona kama hanipend iv.....
hahaha shemeji nae ni member jf
Mkuu uko right ongeza na hii ya "ahadi ni deni"
Kuna baadhi ya kinadada pia baada ya kuongea na kuchat kama muda hivi, from no where unaeza pigwa deni la AHadi ambayo hata hujui uliihadi lini. Utastaajabu pale itakapo ambiwa" honey mbona ahadi yangu ya simu siioni" kazi itakuwa ni kwako hapo sasa sijui hio ahadi utaitoaje.. Ndo unadaiwa simu - ambayo hujui hata ni lini uliiahidi.. Pia bila kusahau simu inayotakiwa hapo ni smartphone,.
Mwisho'
Asante bro kwa kutuweka attention .. Kwani kuna watu saa hii wanajijitia bajeti zimeharibika
Anapitaga huku loh hafai huyu mchunguzi hahaha kaniudhi!!!!
haha sasa hivi ukitaga kumpiga mzinga ustumie sms piga simu kabisaaaa au live
Bora umekuja.Naomba hela????.....lol
haha sasa hivi ukitaga kumpiga mzinga ustumie sms piga simu kabisaaaa au live
nimekupenda bure hawajiulizi hawa usipomuhudumia wewe atahudumiwa na nani?
Ngoja niandike hizi notsi maana baadaye nina mpango wa kupiga simu kwa michepuko yangu yote....
Mmmhhh unamafua???
wazazi wake.