Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
huku nilipo hawana salio si unajua niko vijijini huku ndani ndani....
Wewe unaninyima sio bure.....lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku nilipo hawana salio si unajua niko vijijini huku ndani ndani....
mishahara yenu na boom mnazipeleka wapihahahaha kwani tunakaa barabarani si ni wewe tu
kwani unafikiri mizinga tunapiga kila siku hapana ni pale maji yanapotufika shingoni why nihangaike kwingine na honey upo? ndo mana unakuwa wa kwanza kufikiriwa
yani nashindwa ata kushangaa, eti mwanaume anaogopa kuombwa ela....sheeeeh...
Shemeji naomba elfu 80 nimepata shida ya ghafla.....lol
mishahara yenu na boom mnazipeleka wapi
Hahahaa... yaan ukinipiga iko kizinga nikikumata nasimamia vidole kabsa... nakupaua yaan mpaka hela yangu irudi
Hayo ndiyo madhara ya "Usawa wa kinjinsia", kabla ya Beijing haya yote hayakuwepo maana kazi zilikuwa bwerere kwa Wanaume, leo hii nafasi zote hizo na wanawake wamejaa sasa chaneli za pesa kwa wanaume hamuoni kamahapo sasa ndugu yangu ni sheeeedaa yaani wanaume wa sasa wamebakia majina tu hata hawayajui majukumu yao kwa wake na wapenzi wao,wengi wao ni marioooo tu wanawake wanalo mbona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo kitu ipo kwaajili ya hiyo kazi....unaweza kudhani unamkomesha mtu kumbe unajikomesha wewe
halafu hamnaga uso wa aibu hata kama hana na unajua hana utaanza kuelezea matatizo kwa kumpigia story ila husemi nisaidiehaha hilo hutakiwi kujua
Hahahaa... yaan ukinipiga iko kizinga nikikumata nasimamia vidole kabsa... nakupaua yaan mpaka hela yangu irudi
ahhahahahhahahahaha duh umejua kunichekesha
Hayo ndiyo madhara ya "Usawa wa kinjinsia", kabla ya Beijing haya yote hayakuwepo maana kazi zilikuwa bwerere kwa Wanaume, leo hii nafasi zote hizo na wanawake wamejaa sasa chaneli za pesa kwa wanaume hamuoni kama
zimebana...
Nimempa dada yako atakupatia!